Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my CPH2251 using JamiiForums mobile app
 
Pascal ni jitu lipuuzi sana! mfupa upi ameumaliza Samia kabla hujaona content zake?
 
CCM wanasema kuwa Tume ya uchaguzi ukiopo ni huru kwani hawaoni sababu ya kuibandilisha na kuliita Tume Huru ya Uchaguzi.
Kesho utasikia tena wanavyobadilisha biti.
 
Mkuu Nakuunga mkono.
 
Dah kugegeda tena.
 
Kwa taarifa yako uchaguzi ukiwa halali hakuna uwezekano wa ccm kufikia ushindi wa 2/3. Rejea uchaguzi wa 2010, graph ya upinzani ilivyopanda. Na uchaguzi wa 2015 ikazidi kupanda. Huu uporaji uliofanyika 2020 haukuwa wa bahati mbaya, Bali ilikuwa ni kuogopa ukweli huo.

Na hata Sasa hizo Sheria huko bungeni itafanyika demokrasia ya danganya toto ili kupatia mikopo na misaada, lakini hakuna mabadiliko serous yatafanyika. Kizazi hiki sio Cha ccm, hivyo hakuna uwezekano wa ccm kuendelea kushinda itakavyo, ndio maana chaguzi inabidi ziwe za kihayawani ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti.
 
Hauteuliwi ng'o
 
Hatujawahi kuwa na shida na uwepo wa sheria za uchaguzi, tume na ofisi ya msajili. Ila shida ipo kwenye content zake. Sasa sheria hizo zimepelekwa bungeni hata hujaona mapendezo ya mabadiliko yanalenga kuboresha au kuleta kichefuchefu zaidi.
Well said..!

Tungemsifia Hangaya kama angeshirikisha wadau wa vyama vingine vya siasa kwenye kutengeneza hiyo miswada.
 
CHAWA PROMAX UTRA
 
Kwa hili, Hakika apewe maua yake.
 
Susa Susa FC wanasemaje?
hakuna cha maana

Na hata Sasa hizo Sheria huko bungeni itafanyika demokrasia ya danganya toto
...

CHADEMA inasikitisha sana.
Hata hivyo,
nasubiri marejesho kutoka vyama vya Siasa nchini, labda wao ndio watakuwa substantive.

zaidi ya hapo, huu uzi umejaa kurasa nyingi za kumshambulia mleta taarifa.

Sauti ya Watanzania ikamatie hapo hapo.
 
Ulipaswa kutumia 'kugigida'.

Na siyo kugegeda.

Kugegeda kuna tafsiri ya kufanya ngono. Kuna kugegeda na kugegedwa.
KUGEGEDA NI KUTAFUNA KWA SHIDA KITU KIGUMU KAMA MAHINDI MAGUMU, MUHOGO MGUMU, AU MBWA AU PAKA ANAVYOTAFUTA MFUPA NK, HAYO YA NGONO YALIKUWA BAADAYE KAMA NAHAU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ