Swali lako ni dharirishaji chochezi, hukutakiwa kuhoji hivi,Je, kuna kazi za kike na za kiume?
Na wamechukia zaidi baada ya kuvunjwa kwa ile Bodi ya TCRA.Wagalatia watachukia
Kisome kitabu chote kabla ya kusifia.
- Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
- Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo
- Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Unaishi kwa matazamio na ndoto,hongera.Unauliza imesaidia nini? 😂😂 Unaishi Ulaya au?
Kwani hujui kwamba next year bwawa la umeme linaanza Kuzalisha umeme?
Kwani hujui kwamba Vipande vyote vya SGR vina wakandarasi? Ameweka wakandarasi 5 na aliwakuta 3 tuu.
Kwani hujui kwamba Tanzania ndio Nchi pekee yenye miradi Mingi mikubwa SubSahara Afrika?
Kiufupi nikitaka kutaja Kila kitu humu tutajaza seva.Sekta zoooote za Uchumi zinakimbia sana na Kuna miradi mikubwa asikwambie mtu.
Itoshe kwako kusoma namba hizi hapa 👇
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1722603308429508863?t=Me6WKLHxoYSMmROW9He_6A&s=19
Ndogo zipi tena? Naishi Kwa uhalisia ,hizo takwimu hapo sio matazamio.Unaishi kwa matazamio na ndoto,hongera.
Ccm sija wahi kuwaamini mileld.
- Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
- Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo
- Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Susa Susa FC wanasemaje?
...
CHADEMA inasikitisha sana.
Hata hivyo,
nasubiri marejesho kutoka vyama vya Siasa nchini, labda wao ndio watakuwa substantive.
zaidi ya hapo, huu uzi umejaa kurasa nyingi za kumshambulia mleta taarifa.
Basi sawa
Sauti ya Watanzania ikamatie hapo hapo.
Bro are you being sarcastic ama!
- Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
- Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo
- Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Ntarudi kucomment content zake zikiwa hadharani.

Paskali sio wakili msomiNi miswada mhimu sana na endapo itarekebishwa kinia nzuri itakuwa hatua mhimu kuelekea demokrasia ya kweli.
NB:Uwasilishaji wako upo kichawa sana wakili msomi.
Mimi nilidhani ni Lucas MwashambwaSitaki kuamini kama ni wewe umeandika haya
Mmepata au mmepatwa?Kwa kweli Rais tumepata.
Mzee kawa chawa nae yuko kwenye ligi ya kutafuta uteuzi na kina Lucas Mwashabwa. Najaribu kuvuta picha jinsi maza anagegeda daahAisee kutumia neno kugegeda imenifanya nicheke…. Yani Rais ana ugegeda muswada hahahha refer maana ya kugegeda kwa hapa Jf?
We jamaa umesifia hadi umetoka nje ya mstari na hujui contents