Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

Pale msomi anapoamua kua chawa na kusifia kitabu kwa picha ya jalada, acha tuendelee kutazama hiyo futuhi itaishia wapi, kwa sababu kama kuna kuna kitu sitawahi kukiamini basi ni serikali na watu wake wote hasa wale waigizaji wa isidingo walio jazana mle mjengoni
 
  • Wanabodi

Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!

Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.

Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,

The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.

Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.

NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.

Karibuni

Paskali
Kisome kitabu chote kabla ya kusifia.
 
Unauliza imesaidia nini? 😂😂 Unaishi Ulaya au?

Kwani hujui kwamba next year bwawa la umeme linaanza Kuzalisha umeme?

Kwani hujui kwamba Vipande vyote vya SGR vina wakandarasi? Ameweka wakandarasi 5 na aliwakuta 3 tuu.

Kwani hujui kwamba Tanzania ndio Nchi pekee yenye miradi Mingi mikubwa SubSahara Afrika?

Kiufupi nikitaka kutaja Kila kitu humu tutajaza seva.Sekta zoooote za Uchumi zinakimbia sana na Kuna miradi mikubwa asikwambie mtu.

Itoshe kwako kusoma namba hizi hapa 👇

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1722603308429508863?t=Me6WKLHxoYSMmROW9He_6A&s=19

Unaishi kwa matazamio na ndoto,hongera.
 
  • Wanabodi

Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!

Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.

Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,

The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.

Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.

NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.

Karibuni

Paskali
Ccm sija wahi kuwaamini mileld.
Rais anaweza kuwa na nia njema lakini wassidizi wake waka leta ushenzi kama ule wa bunge la katiba.
Wabunge walio pelekewa huo mswada wenyewe hawana legitimacy ya kukaa huko bungeni.
Uliwahi kuona haramu ikiwa halali?
Usitegemee miujiza kwa wabunge wezi wa kura walioko bungeni. Never
 
  • Wanabodi

Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!

Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.

Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,

The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.

Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.

NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.

Karibuni

Paskali
Bro are you being sarcastic ama!
Bunge ni kijiwe cha stori hamna kitu hapo..
Ni maumivu mtarajie
Mwenye kigoda yupo anatalii to the fullest karibu na kule mitulinga inarushwa kumwanganiza mwanadamu.
 
Nimeisoma hiyo miswada, SSH hayuko serious na mabadiliko. Hakuna tume huru ambayo mwenyekiti na makamu wake ni wateule wa rais ambaye ni mgombea kwenye uchaguzi huohuo.

Hakuna uchaguzi huru unaosimamiwa na wakurugenzi wa halmashauri wanaoteuliwa na Rais ambaye ni mgombea kwenye uchaguzi huohuo, tena watu hao ni makada wa chama cha rais.

Ni afadhali angeacha tu mambo yawe kama yalivyo kuliko kuwafanya watu kama vile ni wapumbavu.

Anyway, 2025 anakwenda kupumzika na kulea wajukuu, tusipoteze muda na hizi sarakasi zake. Tumngoje huyo ajaye.
 
Wewe Si wa kuaminiwa,

Mkataba Ule haramu ulipovuja ulianza hivi hivi,

Mara HGA zitakuwa wazi na kurekebishwa, saiz umeanza kusifia na hujaona kilicho ndani.

Nikikwita " Advanced Chawa" ntakuwa sijakosea.
 
  • Wanabodi

Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!

Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.

Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,

The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.

Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.

NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.

Karibuni

Paskali
Ntarudi kucomment content zake zikiwa hadharani.
 
Aisee kutumia neno kugegeda imenifanya nicheke…. Yani Rais ana ugegeda muswada hahahha refer maana ya kugegeda kwa hapa Jf?
We jamaa umesifia hadi umetoka nje ya mstari na hujui contents
 
Mzee kawa chawa nae yuko kwenye ligi ya kutafuta uteuzi na kina Lucas Mwashabwa. Najaribu kuvuta picha jinsi maza anagegeda daah
 
Back
Top Bottom