Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijitabu alisema mpaka tupate elimu kwa miaka mitatu!
- Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
- Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo
- Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Vipi kile kipengele kinachokataza kuhoji matokeo ya kura za Urais kitarekebishwa kweli na Bunge la CCM?

Amini hakunaga democracy dunianiNi miswada mhimu sana na endapo itarekebishwa kinia nzuri itakuwa hatua mhimu kuelekea demokrasia ya kweli.
NB:Uwasilishaji wako upo kichawa sana wakili msomi.
Mbona Marekani,Zambia,Malawi,Ufaransa na Ghana kuna demokrasia?Amini hakunaga democracy duniani
Mkuu kasema anasifikia kitendo cha kuzipeleka bungeni na kusomwa kwa mara ya kwanzaPaskal,
Hatujawahi kuwa na shida na uwepo wa sheria za uchaguzi, tume na ofisi ya msajili. Ila shida ipo kwenye content zake. Sasa sheria hizo zimepelekwa bungeni hata hujaona mapendezo ya mabadiliko yanalenga kuboresha au kuleta kichefuchefu zaidi.
Wewe tayari umeshaanza kusifia hata hujui unasifia nini. Magufuli alipeleka sheria nyingi bungeni lakini nyingi tumeona zilivyokuwa za hovyo.
Umekosa subira, ungesubiri ujue kilichopo na kama ndio kilio cha wananchi basi usifie.
Kuwa chawa promax unahitaji akili kubwa sio kuropoka na kusifia hata usichokijua
Bora umeishia kusema unapongeza political will.
- Wanabodi
Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya
Leo tarehe 10 November, 2023 ni siku ya ukombozi fulani kwa taifa letu la Tanzania, Lile Fupa Lililowashinda Marais Wanaume kwa kipindi cha miaka 40!, Rais Samia, ambaye ni rais Mwanamke shujaa wa awamu ya sita, leo ameanza kuli gegeda fupa hili lililowashinda marais madume wanne!, tena mgegedo wenyewe wa fupa hili, Mwanamke shujaa huyu, ameanza kuligegeda akiwa ndani ya kipindi cha miaka miwili tuu na miezi kadhaa, kwa miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa Letu, inatua Bungeni Dodoma asubuhi hii kwa hati ya dharura!
- Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?.
- Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
- Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo
- Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
Miswada hiyo ni Mswada wa mabadiliko ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuunda Tume Huru ya Uchaguzi, Muswada wa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi kuondoa dhulma kubwa kwenye sheria yetu ya uchaguzi na muswada wa kurekebisha ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini.
Japo bado sijafanikiwa kuona contents za miswada hiyo, lakini kitendo cha serikali ya awamu ya sita kuwasilisha tuu miswada hii ni uthibitisho wa nia njema na dhamira ya dhati ambapo Rais Samia anastahili pongezi za dhati na kuthibitisha Wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye baadhi ya maeneo,
The basis ya pongezi hizi kabla hata ya kujua contents za mabadiliko ya sheria hizo ni pongezi za just a Political Will to change something!. Nimepandisha mabandiko zaidi ya 10 kulalamikia sheria mbovu ya uchaguzi, toka enzi za Mkapa, JK na JPM, hakuna aliyechukua hatua, hivyo kitendo tuu cha serikali ya Samia kuwa sikivu na kuleta mabadiliko, kinastahili pongezi za dhati!.
Kwa wenye access na TBC, macho na masikio yetu tuyaelekeze Bungeni Dodoma milango ya saa 4:30 asubuhi hii, hizi ngoma 3 zitashuka!.
NB: Pamoja na mabadiliko haya kutua Bungeni, ile hoja yangu Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa? is still valid!.
Karibuni
Paskali
Au inategemea na maana ya kugegeda yenyewe! Japo kwa mtaani, ni nomaShida inaanzia kwenye 'mgegedo'
Shida ya kuwaza vyeo uzeeni hku ukiwa na mastress kma kilo 50...lazima upigwe stroke kwa msongo wa mawazo

Nia njema ya Rais wetu mama Samiah itaweza chafuliwa na hawa wahuni wafuatao;Mzee Mbowe,Tundu Lissu na yule kichaa wa Arusha

umeandika mashudu matupu mpk nimeshindwa kumalizia aseh,HIV WABONGO TUTAACHA LIN SIASA ZA KUSIFIANA UNAFK DAH YAN WATU WANABOA HII NCH YANG SIJUI KM ITAKUJA KUPATA MAENDELEO KWA UHARAKA YAN VIONGOZ NA HAO WANAOJIITA WASOMI WOTE NI EMPTY KICHWANLeo ni siku ya Wanawake Duniani, Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maadhimisho ya siku yao hii ya wanawake duniani wakiwemo wanawake hawa na Mwanamke huyu!.
Happy Women's Day all the beautiful ladies and the lovely ladies out there, na kwenye wanawake na siasa, nina Salaam zao Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?.
Paskali
Mkuu Korokoroni Uliyezeeka, Old guard , pole sana.umeandika mashudu matupu mpk nimeshindwa kumalizia aseh,