Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

Watawala huwa wanazungumza shit pale wanapoona kwa muda huo hawahitaji msaada wowote, lakini wakihitaji msaada na wanapoolemewa wao ndio huwa wanawaambia wakakae na wadau wa maendeleo( wadhamini) ili wasaidiane na serikali.
 
Paskali kweli unamaanisha hapa! manake hizo media ndio mshipa mkubwa zaidi ya uzamini wa jeshi la polisi. Medio zilizoshika hatamu na hao watangazaji ni mtihani mkubwa mno. Haki kwa contents hakuna tena ni interest za sponsors ndio zimeshika hatamu.

Jicho Ona lione media hizi mpya, watangazaji na content, mpaka miziki ni mupe muluke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…