Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,689
- 5,497
Ni kweli mkuu na sijui ilikuwaje msimu wa 2022/2023 GSM aliingilia kati hadi kwenye mashindano ya CAF ilimradi tu Yanga acheze fainali. Na akamuhonga Belouizdad ambaye ni bingwa wa Algeria ili afungwe magoli manne ili Yanga icheze robo fainali.Mkuu , umezunguka weeee lakini ukweli unabaki palepale kwamba utopolo linapokuja suala la mechi za kimataifa ambazo hazidhaminiwi na gsm anageuka kuwa kengold aliyechangamka.