Ni kweli mkuu na sijui ilikuwaje msimu wa 2022/2023 GSM aliingilia kati hadi kwenye mashindano ya CAF ilimradi tu Yanga acheze fainali. Na akamuhonga Belouizdad ambaye ni bingwa wa Algeria ili afungwe magoli manne ili Yanga icheze robo fainali.Mkuu , umezunguka weeee lakini ukweli unabaki palepale kwamba utopolo linapokuja suala la mechi za kimataifa ambazo hazidhaminiwi na gsm anageuka kuwa kengold aliyechangamka.
Yanga kwenye CAFCC alikuwa anakutana na vibonde watupu kuanzia robo hadi nusu.
Sasa imagine eti robo unakutana na Rivers United halafu nusu unakutana na Marumo Gallants ambayo ilikuwa kwenye hati hati ya kushuka daraja.
Simba tangu hatua ya makundi anakutana na vigogo kama CS Sfaxien ambaye ndiye bingwa wa mashindano ya CAFCC mara nyingi, CS Constantine ambayo ni timu ngumu.
Robo unakutana na mwarabu mwingine kutoka pale kwa Farao Al Masry unamtoa.
Nusu fainali unakutana na Stellenbosch ambayo imetoka kumtoa Zamalek moja ya timu vigogo pale Egypt.
Kundi mchekea wakati wote waliokuwa kwenye kundi la Yanga ndio zinaongoza ligi kwenye nchi zao mwangalie Constantine wako anavyotia aibu kwenye ligi.Haya sasa, tuliwaambia yanga wako kundi mchekea na wao (yanga) ni underdog wakashupaza shingo. Kundi lote limefurushwa sasa.
Nchecheme nchecheme usindi wa dondokela hakuna ushindi nguvu za waganga tu na wazee wenye macho mekundu nyambafuSimba si kamtoa mwarabu juzi au unazungumzia simba ya uganda?
Hawa hawawezi kukuelewa mpaka Simba akandwe na Stollenbosch pale kwa Nkapa hio tarehe 20Kundi mchekea wakati wote waliokuwa kwenye kundi la Yanga ndio zinaongoza ligi kwenye nchi zao mwangalie Constantine wako anavyotia aibu kwenye ligi.View attachment 3301397
Ligi ya algeria ni kimeo pro maxxy aka mixxy by nyashiKundi mchekea wakati wote waliokuwa kwenye kundi la Yanga ndio zinaongoza ligi kwenye nchi zao mwangalie Constantine wako anavyotia aibu kwenye ligi.View attachment 3301397
Ligi zipi hizo ambazo sio kimeo?Ligi ya algeria ni kimeo pro maxxy aka mixxy by nyashi
Wakati nakutana na Marumo alikua ametoka kumtoa Pyramids. Usisahau hapohapo nilimtoa Club Africaine, nilimfunga Monastir, Beloizdad, USM Alger, Al Hilal nilimtoa kamasi Mamelod mpaka mwamuzi akaamua kuwabeba.Sasa imagine eti robo unakutana na Rivers United halafu nusu unakutana na Marumo Gallants ambayo ilikuwa kwenye hati hati ya kushuka daraja.
Ligi ina mechi 20?Mara nyingi mara ngapi? Mara ya mwisho unajua kachua lini kombe hilo? Mara tatu nayo leo imekuwa ni nyingi je waliochukua mara tano nao wasemaje?
Constantine eti timu ngumu, timu imeambulia point 26 tu wakati MC Alger aliyekuwa kundi moja na Yanga ina point 40 na inaongoza ligi. View attachment 3301396
Marumo ana mafanikio gani?Wakati nakutana na Marumo alikua ametoka kumtoa Pyramids. Usisahau hapohapo nilimtoa Club Africaine, nilimfunga Monastir, Beloizdad, USM Alger, Al Hilal nilimtoa kamasi Mamelod mpaka mwamuzi akaamua kuwabeba.
Ukiamua kuongelea haya fanya research usikurupuke.
Amefika Semi Finals ya CAF CC ambayo makolo walikua wanaiotaMarumo ana mafanikio gani?
Ligi ina mechi 30 ina maana bado mechi 10 ligi iiishe, vipi unataka kusemaje?Ligi ina mechi 20?
Tuachane na hayo, hivi kwenye rank kwa nn kila siku sisi tupo juu nyie mko matakoni...Hao warabu aliyocheza na Simba kuna bingwa hata mmoja?
Simba imeanza kufanya vizuri michuano ya CAF tokea msimu wa 2018/2019 ukipiga hesabu ni misimu 6 wamevuna point 43 mpaka sasa.Tuachane na hayo, hivi kwenye rank kwa nn kila siku sisi tupo juu nyie mko matakoni...
Hii ni milio ya mwanzo tu bado hamjalia. Kila tundu lililopo kwenye tundu la Amfibia litatoa mlio (ushuzi) unaoambatana na harufu mbaya.Akili ni nywele na kila mtu ana zake. Miaka yote wewe unahangaika kuvuka robo unashindwa, kila mbinu ulikua unatumia mpaka uchawi wa wazi bado ukashindwa msimu huu ndio umefanikiwa leo unasema mechi za kimataifa Yanga hawezi kwa sababu hazidhaminiwi na GSM? Kwani wewe una mafanikio gani kwenye hizo mechi za kimataifa ambazo unajiona wewe ndio baba lao?
Msimu ambao Yanga anafika fainali kulikua na timu ngapi za GSM? Kwenye ligi ya NBC Azam, kolo wote wanadhaminiwa na GSM? Tumieni akili msitumie muda mwingi kutu prove Umbumbumbu wenu
Mkuu umejibu kitaalamu sana... big upSimba imeanza kufanya vizuri michuano ya CAF tokea msimu wa 2018/2019 ukipiga hesabu ni misimu 6 wamevuna point 43 mpaka sasa.
Yanga imeanza kufanya vizuri michuano ya CAF tokea msimu wa 2022/2023 mpaka sasa ni misimu 3 wamevuna point 34.
Maanake nini?
1) Simba tayari ina uzoefu na mashindano ya CAF kwa kucheza robo fainali nyingi, wakati Yanga ndiyo imeanza kutafuta consistency ya kucheza robo fainali.
2) Spidi ya Yanga sio mbaya katika kupata point za CAF sio mbaya kwasababu anakuwa na wastani wa point 11.33 kwa msimu, huku Simba ikiwa na wastani wa point 7.16 kwa msimu.
Nadhani muda ndio utaamua katika hili.
Anzeni hatua za awali sio yale ya bestt looser ligi ya mabingwa mlishindwa na timu mbovu mkaangua shirikisho mkakutana na timu mbovu zaidi mpaka kufika fainal habari yenu ikaishia pale!Nchecheme nchecheme usindi wa dondokela hakuna ushindi nguvu za waganga tu na wazee wenye macho mekundu nyambafu
Mtajua wenyewe simba yupo nafasi ya nne caf huwa mpaka mtu wa nne si ruksa kujadiliwa na timu za mchangani!Hao warabu aliyocheza na Simba kuna bingwa hata mmoja?
Kwa hio wewe na ule mtimu wenu mbovu mlioikimbia Yanga isiwakande mnafikiri mnafika wapi? Stellenbosch anawakanda hapo ndio mwisho wa pumzi shenzizenuAnzeni hatua za awali sio yale ya bestt looser ligi ya mabingwa mlishindwa na timu mbovu mkaangua shirikisho mkakutana na timu mbovu zaidi mpaka kufika fainal habari yenu ikaishia pale!
Nafasi ya Nne kufanya nini wewe jiandae kukandwa na Stellenbosch umekazania nafasi ya 4 wakati mbele kuna kichapo hakuna cha Mukwala Mkwala wala Mukwena wote kichapo tu Auha chaliMtajua wenyewe simba yupo nafasi ya nne caf huwa mpaka mtu wa nne si ruksa kujadiliwa na timu za mchangani!