imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Aisee habari za Ngara, nasikia Mazutu hamna kabisa?Mungu mmoja asiye na mshirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee habari za Ngara, nasikia Mazutu hamna kabisa?Mungu mmoja asiye na mshirika
Alianza shule akiwa mjingaNdio maana ya Kuwa mpumbavu na Si mjinga!
Kazi unayoWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Ukweli ukishafika hakunaga na kazi. Ukweli unaongeaga wenyeweKazi unayo
Kama haupo Tanzania basi wewe ni aibu ya nchi yetu huko uliko. Maana katika hali ya kawaida utakuwa unafanya mambo mengi ya kipumbavu kwa jina la wewe ni Mtanzania.
Mimi napendekeza tubinafsishe NCHI yote kabisa Kwa waarabu NDO itasaidia kuongoze uchumi wetuWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Hata kulichoandikwa hakieleweki.Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Daaah! Mtukane sasa bhana tena yeye na uzao wakeSipendagi kutukuna watu ila wewe unastahili (mleta Uzi). Mungu anisamehe.
Wewe mwenyewe hiki ulichoandika kinaeleweka?Hata kulichoandikwa hakieleweki.
Kama Taifa tumepigwa na kitu kizito. Hizi pumba zako ulizoandika humu ungezipeleka Facebook kwa watoto wenzio siyo kutuletea JFWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Bado hujakoma?Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Chukulieni poa siku zaja , makaburi yenu yatafukuliwa na kupelekwa makumbusho, na pingu juu,Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Asipo kuelewa atakua mpumbavua kama wapumbavu wengineAcha kuwashambulia watu hata wewe umeandika ujinga tu na uchawi.tangu lini mwarabu anampenda mweusi?waliotimiza utumwa ni hakuwa mwarabu?dada zetu wanalawitiwa na waarabu huko kwao leo hivi sisi na mwarabu wapi na wapi.ati bandari kulikuwa na upigaji kama mnawajua si muwaondoe hao watu?acheni upuuzi mnawaleta ndugu na vikampuni vyenu halafu mnawaita wawekezaji.
Pumba tupuWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Sasa unawaza kufunga makabuli pingu unadhani wewe ni mzima kweli?Chukulieni poa siku zaja , makaburi yenu yatafukuliwa na kupelekwa makumbusho, na pingu juu,
Sasa kati yangu na wewe chawa mzoefu ,wa kuwai Milembe nani?, acha tumika ,nasema wahuni kama nyie siku ikifika makaburi yetu yatafukuliwa na skeleton zenu pigwa pingu na kupelekwa makumbusho, jua hili ,Sasa unawaza kufunga makabuli pingu unadhani wewe ni mzima kweli?
Wahi milembe tu