Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kwamba ana perform vzr kweny utetezi wa DP world 🤣🤣🤣🤣Namba yako ya akaunti ni ipi.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ana perform vzr kweny utetezi wa DP world 🤣🤣🤣🤣Namba yako ya akaunti ni ipi.?
Basi haijakusaidia kituKwa ufupi tu
Nina Masters ya Sheria- Westminster University
😂😂 kama ni nguo umemvua zote, bora kunguru ulaji wake haumtegemei mwenzake anapambana kivyakeSasa ACT wazalendo nao uwaite wataalamu? Una akili timamu kweli?
Act hakuna namna itapingana na serikali kwa sababu ni sehemu ya serikali.
Pili Zitto hawezi kumpinga 'muislamu' mwenzake kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe.
Zitto hana kazi, anaishi na kula kwa kutegemea ccm, moja kupitia kwa mke wake binti wa Bulembo na pili kupitia act Zanzibar ambayo iko pamoja na ccm.
Ungetaja watu wa maana ningekuona una akili, unamleta Zitto na act yake hapa kama rejea? Unafikiri sawa sawa kweli?
hujasikia huko watu wako wanabadili mkataba kimya kimya 😂😂😂😂 kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingoWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Wewe chawa tu. Unaongea kitu tofauti kabisa. Hao kina ACT na Kkkt wamesema tunahitaji uwekeza. China yenyewe inahitaji uwekezaji. Wapinga mkataba wa IGA na dubai hawapingi uwekezaji wa nje. Wanapinga huo mkataba na dubai. Mkataba wenye masharti ya kibeberu na kikoloni. Mbona sasa wamepata woga baada ya hadaa zao kujilikana? Kama una akili mtoa hoja ungeangalia hata zile reservations za majaji hukumu ya mbeya. Kuna some very serious issues. Ni kama kina mwabukusi walishinda ile kesi ila majaji wametoa ushindi kwa namna tofauti kuepuka balaa kwao.Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Hongera Samia kwa ushindi huu hakika TEC wamepuuzwa na ndioa mwanzo wa taasisi hii kuporomoka kiushawishi. Kila mtu amepata picha Sasa kwamba nyaraka zao Huwa ni maslahi Yao binafsi tu. Mama aliamia kutulia nampongeza kwa Hilo mana angebabaika tu tayari TEC wangesababisha mauaji ya kimbari kama mapadre wa rwanda walivyosababisha kule rwanda. Huwa nawaambia Ile siyo dini ya mwenyezi mungu Bali kundi la wajanja wajanja tu. Mungu Gani ambaye haruhusu watu waoe?Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Kama wewe unaemsujudia mfu mohamed sawUnamsujudia papa?
Dini ya mwenyezi Mungu ndio inaruhusu uvaaji ya shungi na kobazi😁 mnachekesha kweli na kuabudu kwenu shetaniHongera Samia kwa ushindi huu hakika TEC wamepuuzwa na ndioa mwanzo wa taasisi hii kuporomoka kiushawishi. Kila mtu amepata picha Sasa kwamba nyaraka zao Huwa ni maslahi Yao binafsi tu. Mama aliamia kutulia nampongeza kwa Hilo mana angebabaika tu tayari TEC wangesababisha mauaji ya kimbari kama mapadre wa rwanda walivyosababisha kule rwanda. Huwa nawaambia Ile siyo dini ya mwenyezi mungu Bali kundi la wajanja wajanja tu. Mungu Gani ambaye haruhusu watu waoe?
🫣🫣🫣 itakuwa masters ya mipasho, hebu soma heading vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa ufupi tu
Nina Masters ya Sheria- Westminster University
Soma hiiWataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.

Kama haupo Tanzania basi wewe ni aibu ya nchi yetu huko uliko. Maana katika hali ya kawaida utakuwa unafanya mambo mengi ya kipumbavu kwa jina la wewe ni Mtanzania.Kwa akili yako mfu unadhani kila mwana JF yupo Tanzania?
Kwani hili suala bado linajadiliwa? Na nani? Kwanini? Mbona ilishaenda hiyo... Mwenyee alishatoka kukemea 😂 😂 😂 😂Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.
Tuliposema kuwa hizi kelele za Bandari kuuzwa sijui nchi imeuzwa ni maneno ya chuki na uzandiki kukwamisha mipango mizuri ya Rais wetu kwenye uchumi wetu ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi tulionekana sie tumehongwa na ni wapigaji tu.
Tulisema haya tukijua na tukiwa na ushahidi kuwa hawa watu wamekuwa wakinufaika na upigaji mkubwa ambao umekuwa unafanyika pale bandarini na wanafanya haya ili kutengeneza tension kwa muwekezaji huyu ili tu asije na waendelee kulila hili taifa letu.
Baada ya watu wenye akili kuujua ukweli na Kuanza kuelewa hoja zetu mambo yameanza kubadilika hakika
Walianza wasomi wachache, wakaja KKKT, sasa ACT Wazalendo wametuelewa na wamefanya uchambuzi murua kuunga mkono uwekezaji wa Bandarini.
Wale wengine ambao napenda kuwaita chuki fc ni kama hawasikilizwi tena. Wanaendelea kusoma waraka wao kila siku ila ni kama wamepuuzwa mazima na wananchi wanaojua kweli na wanafahamu kweli inawaweka huru.
Hayo yote tisa, kumi ni kikundi maslahi na chuki kinachotumiwa ili kumkwamisha Rais Samia. Kundi hili linaongozwa na mwanasheria Mwabukusi, mvuta bange Mdude Nyangali na aliyekimbia upadre Dkt Slaa.
Mara ya kwanza waliitisha maandamano kwa diasporas eti waandamane huko ughaibuni kwenye balozi za UAE, wakapuuzwa vibaya sana.
Jana wametoa eti siku 30 kwa serikali kuachana na Mkataba wa Bandari na walitegemea wataugwa mkono ila uzuri wamepuuzwa tena vibaya sana.
Narudia kusema humu. Ukweli una tabia ya kutembea taratibu sana ila uzuri wake ni kwamba lazima ufike tu.
Ukweli umeshafika na Watanzania wamejua kuwa hakuna Bandari iliyouzwa, IGA inahusu ushirikiano katika uwekezaji wa sehemu ndogo tu ya Bandari ya Dar es Salaam ambayo ni baadhi ya Gati za Terminal 1 tu na ndo mana Mamlaka ya Bandari imeendelea kutanganza tenda kwenye maeneo mengine.
Baada ya huu ukweli sasa naona hoja ya Bandari kuuzwa sijui kugawiwa kwa waarabu imeanza kufa rasmi.
Wale TEC na wazandiki wenzao ni kama wamekuwa machizi kung'ang'ania vitu ambavyo tayari ukweli umeshaamua mustakabali wake.
Poleni sana Wazandiki. Kweli Pumba zimeanza kujitenga na Mchele.
Hongereni kwa ushindi Team Wazalendo.
Nimesoma chuo bora sana duniani ndo mana hata upeo wangu wa uelewa wa mambo huwezi kuufananisha na upeo wako wa hovyo.
RUBBISH...Wataalamu wa siasa za nchi hii tuliposimama na Rais Samia kutetea uwekezaji wa Bandarini tulionekana sie ni machawa na tukasemwa sana.