Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

Haya

wanafanya
Haya ya 3 inafunga mjadala kuwa Serikali ya WEZI imeweka WEZI BANDARINI na SERIKALI hiyohiyo HAINA UBAVU wala namna ya KUWAONDOA WEZI WENZAO bali inaona ni SAHIHI KUUZA BANDARI ZOTE ZA BAHARI NA MAZIWA NDANI YA MIPAKA YA TANGANYIKA kwa WATAALAMU WA WIZI ili WAONGEZE WIZI.
 
Kwa hiyo unaamini Bandari zimeuzwa?

Labda nikuulize zimeuzwaje? Kivipi?
 
Kwa hiyo unaamini Bandari zimeuzwa?

Labda nikuulize zimeuzwaje? Kivipi?
Km haijauzwa,naomba majibu ya haya maswali;
1 . Dubai Ports World wana wekeza ktk bandari ipi hapa Tanganyika?

2. Uwekezaji huo ni wa kipindi cha miaka mingapi?

3. Uwekezaji huo ni kiasi gani cha fedha ambazo zitalipwa kwa mfumo upi?

4. Ni taratibu zipi ktk mkataba huo zikiukwa mkataba una vunjwa na ni nani kati ya pande mbili ana nafasi hiyo?

5. Ni sababu zipi zinazopelekea usuruhishi wa migogoro ktk uwekezaji huu ufanyikie SA?

6.
7.
9.
WEKA USHAIDI KWA KILA JIBU LAKO.
 
Huu ni mchezo mchafu wa watu waliokuwa wanaitafuna bandari kumwaga pesa ili kupotosha ukweli ili wao wacheze pesa watakavyo.. Sasa mama kawastukia.. Wanaanza kulia hovyo.. Mama piga kazi tafuta wawekezaji.. Katika dunia ya sasa uchumi unatawaliwa na private sector na serikali inabaki kuwa monitor tu.. Huu ndo ukweli
 
ELIMU ELIMU ELIMU

ULICHO BWABWAJA HAPA NAJARIBU KU LINK NA ALICHO ONGEA WAKILI MSOMI MWABUKUSI NI TOFAUTI.....

NIMEKUMBUKA UMUHIMU WA LILE SOMO LA UFUPISHO WA HABARI...

WENGI WETU TUTAFIKA MBINGUNI TUMECHOKA SANAAA 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Poleni sana. Ukweli umeshafika. Uzandiki wenu hautafanikiwa kamwe
Poor propagandist with low thinking capacity! Eti nawe wajiita lawyer! Labda wa mchongo!
Mzandiki ni yule ambaye akiziona Mali za umma mate yanamdondoka mithili ya fisi aliyeona mfupa kwenye tv!
 
Mnakaa vibandani huko mnaandika uto
 
Sasa nini hicho?

Walichoripoti ni jambo ambalo hata Serikali wameafiki halina mantiki.

We kwa akili yako kuna uhusiano wowote wa Sheria ya Maliasili na uwekezaji katika management ya Bandari?
 
Poor propagandist with low thinking capacity! Eti nawe wajiita lawyer! Labda wa mchongo!
Mzandiki ni yule ambaye akiziona Mali za umma mate yanamdondoka mithili ya fisi aliyeona mfupa kwenye tv!
Hapa ni facts. Sio propaganda
 
Sasa nini hicho?

Walichoripoti ni jambo ambalo hata Serikali wameafiki halina mantiki.

We kwa akili yako kuna uhusiano wowote wa Sheria ya Maliasili na uwekezaji katika management ya Bandari?
Ndio Kuna uhusiano mkubwa na sidhani kama umesoma kilichoripotiwa humo?

Bandari ipo katika category ya Maliasili za nchi! Ujue Hilo vyema na akili yako ifunguke! Bandari ni asili bandari ni urithi na imejumuishwa humo!
 
Ndo mana nawaambia nyie ni wajinga na ni samahani nikikuita mpumbavu

Kiweke icho kipengele kinasosema bandari ni sehemu ya maliasilia alafu nikufundishe vizuri namna ya kusoma na kuelewa
 
Poor propagandist with low thinking capacity! Eti nawe wajiita lawyer! Labda wa mchongo!
Mzandiki ni yule ambaye akiziona Mali za umma mate yanamdondoka mithili ya fisi aliyeona mfupa kwenye tv!
Hakuna lawyer Hapa tangu naona anapost ni kamjinga Fulani ka mtaani ambalo elimu haijakakomboa
 
Ndo mana nawaambia nyie ni wajinga na ni samahani nikikuita mpumbavu

Kiweke icho kipengele kinasosema bandari ni sehemu ya maliasilia alafu nikufundishe vizuri namna ya kusoma na kuelewa
Sasa wewe ungeanza kuweka kifungu kinachoitoa bandari kuwa sehemu ya Maliasili ya Nchi. Kwanza Kwa matiki ya kunitoa ujinga kabla hujaniita mpumbavu!
 
Ndo mana nawaambia nyie ni wajinga na ni samahani nikikuita mpumbavu

Kiweke icho kipengele kinasosema bandari ni sehemu ya maliasilia alafu nikufundishe vizuri namna ya kusoma na kuelewa
 
Attachments

  • Screenshot_20230906-184554_1.jpg
    52.4 KB · Views: 4
Sasa na useme umefanyaje uchambuzi wako kuwatenganisha chawa,wanasiasa njaa kali, wazalendo uchwara, wazalendo halisi, wazalendo njaa na wanufaika wa ufisadi na rushwa katika hili🤔.Kwani upo msemo katika msafara wa mamba wamo kenge, samaki,comodo hata papa na nyangumi,kama sio nyumbu na punda milia 😂😂😂
 
Hapa ni facts. Sio propaganda
Usijizeme data mla ugoro wa chuga kwani hujawahi kuwa na hizo facts acha kutishia nyau watu!
Najua upo kwenye payroll ya buku 7 na ili uipate ni lazima upandishe Uzi mlegevu hapa! Bisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…