Tuliza mshono wa uzazi, ingekua issue yake, kwa kiherehere hiki, lazima angetuweka wazi.
Amefanya sawaMkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Mkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo
Tatizo hamjui haki zenu za kirai, unapolipa kodi sehemu ya hela yako inatakiwa itumike kuhakikisha kuna watu wanalipwa kulinda, mali, usalama na afya za wengine. Tusipende kujishughulisha na mambo yasiyotuhusu, wapo wataalamu wanalipwa kwaajili ya kukagua, kusimamia na kuridhia mambo ya ujenzi. Ni kweli zipo ajali na zipo namna za kushughulika nazo. Acheni umbea, msijishughulishe na mambo yasiyowahusu.Pumbavu, kamenitoka tu; Halafu watu wakifa ni ishu yetu sote kama nchi sio?
Unaweza kuwa sawa ila mimi niki zoom hiyo picha naona kuna nguzo nene fresh tu kwa ndani. Kwa macho naona kama kuna about 30cm x 30cm nguzo ndani.Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.
Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.
Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.
View attachment 1193373
Mimi siko hapa kulaumu mtu au kusema huyu anamakosa, point is, ujenzi unatia shaka, wahusika wakajiridhishe.Sasa wakulaumiwa ni nani hapo?
Aliyeruhusu jengo lijengwe tofauti na specifications?
Au aliyejenga?
Baati nzuri tupo humu tuliosimamia ujenzi pale kkoo kama Engineer...ujenzi wa matajiri wa pale ni wa ujanja ujanja...usikute hata sticker wanazotumia hapo ni feki na hata wakaguzi wakipita hapo wanapewa chao wanasepa bila hata kukagua ubora wa jengo....na inawezekana amepata kibali cha kujenga ghorofa zaidi ya 10 lakini structure desing standards za engineer na kinachofanyika ni tofauti...hivyo angalizo alilotoa mleta mada lisibezwe hata kidogoHaya mambo hayafanywi kienyeji enyeji tu. Lazima mtu awe na permit na authorization kutoka kwa mamlaka husika; na engineer anakuwa ame approve michoro ya hilo jengo kuwa ujenzi huo ni salama. Kama hujui kitu unauliza ufahamishwe...
Mchana mwema!
Tunaishi kimungumungu weweeePicha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu.
Sasa unaweza kuta michoro ya structural engineer imespecify mwisho ghorafa 10, lakini mwenye jengo anaamua tu kuongeza zaidi kwa tamaa ya pesa. Maana zile nguzo ni nyembamba sana na jengo lenyewe ni jembamba kama mlingoti.
Mamlaka zinazohusika zifanye ukaguzi ili lisije likaleta madhara na mwishowe tukapeperusha bendera nusu mlingoti.
View attachment 1193373
waziri Wa ujenzi kipindi hiko alikuwa naniTanzania, everything is possible. Kuna jengo lilianguka. Vibao vyote vilikuwa vya kununua. Walijenga wenye jengo kimtindo mtindo
Majengo mangapi yameanguka nchi hii wakati au baada ya ujenzi? Au una hisa na ujenzi wa hili jengo?Mkuu, mambo ya ujenzi hayapimwi kwa macho, embu jiongeze kidogo.
Nyie ndio huwa mnadanganywa na mafundi unakuta kavaranda ka hipped roof upana hakazidi hata mita 5 lakini watu wameweka nguzo 3 za uneno futi 3,huwa siwaelewi tumieni wataalamuUmejuaje kama hiki alichokileta sio moja ya issue zake? Maybe hizi ndio kazi zake kwa hiyo usimjudge sana.
BTW kwa huo muonekano wa hizo nguzo ni kweli jengo linatia shaka uimara wake.
Cc Unforgetable
kinga ni bora kuliko tiba,acha afikishe maada kama ni sahihi ktk ujenzi huo au si sahihi..coz hatutaki kuomboleza na bendera nusu mlingotiMkuu, fanya issue zako, mambo ya watu achana nayo, unaweza ukawa na very limited facts kwenye hilo jambo