Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

Linahitajika somo la mtaala wa darasani kuwaelewesha wanaume tabia za mahusiano za wanawake

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza!

Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na kupata maarifa kufahamu pia namna majike ya viumbe wengi wote yanavyoenenda katika mapenzi.
Don't hate the player, hate the game.
Screenshot_20260315-120507~2.jpg
 
Kama ni kapuku penzi hupati, utalichora chini. Siku hizi hakuna penzi la bure kwa kapuku ila tajiri anapewa bure
Hata kapuku tunapata Buree,
Tatzo la wanaume wengi ni kushindwa kuwa na uwezo wa kufahamu mwanamke yupi ni type yako.
Kuforce maisha lazima yakutokee puani na kuanza lawama sizizo na msingi wowote.
🙏
 
Najua nchi zingine huko.. Miaka ya sekondari wanafunzwa haya kwa mitaala.. Sijui kwa kiasi gani ila inasaidia sana kuepusha mengiiiii kwa wanafunzi.. Na kuwasaidia baadae maishani
 
Zamani mwanaume alipewa penzi bure kutokana na wajihi wake, ni handsome boy, amejaziajazia misuli na anapeleka moto kisawasawa. Siku hizi hupati penzi kwa sifa hizo, sifa ni uwe na uwezo wa kifedha, hata kama una mbilimbi mwanamke haoni dosari atakupa penzi tu
 
Sio kweli, ni wewe tu haupewi kuna namna wanakuona🤔
 
Kuna namna una force mapenzi kwa wanawake ambao sio level zako ndio maana una huu mtazamo
huwa siingizi timu uwanjani kama naona demu ni ghali na sina uwezo wa kumpata hata kama ni pisi kali nimemtamani labda anishobokee mwenyewe hapo ndio napata ujasiri wa kumtokea na kumuimbisha mashairi
 
Hili ni tatizo la kimkakati maana yake bila pesa wewe ni ngumu kuwa na sifa za kiiume😅
 
Back
Top Bottom