Kuna wale wanawake ukikutana nae tu japo unaweza mtamani ila usiwe na maamuzi ya hata kujaribu kumtaka ujue huyo sio size yakomin -me hivi mwanamke wa level zako anakuaje? au unamjuaje mwanaume wa level zako? Maana toka mwanzo unakomaa na level level