Ulichokiandika wala hakina ukweli.Kama ni kapuku penzi hupati, utalichora chini. Siku hizi hakuna penzi la bure kwa kapuku ila tajiri anapewa bure
Huu ndio ukweliHata kapuku tunapata Buree,
Tatzo la wanaume wengi ni kushindwa kuwa na uwezo wa kufahamu mwanamke yupi ni type yako.
Unakuta mwanamke mwenyewe ameshaamua anahitaji mwenye hela kapuku na wewe unaforce,
🙏
Hata kapuku tunapata Buree,Kama ni kapuku penzi hupati, utalichora chini. Siku hizi hakuna penzi la bure kwa kapuku ila tajiri anapewa bure
wapi ambako kuna penzi la bure siku hizi? Hata labda upewe na mwanamke tajiriUlichokiandika wala hakina ukweli.
Kuna namna una force mapenzi kwa wanawake ambao sio level zako ndio maana una huu mtazamowapi ambako kuna penzi la bure siku hizi? Hata labda upewe na mwanamke tajiri
mbona hata hawa wa level yangu hawatoi penzi bure?Kuna namna una force mapenzi kwa wanawake ambao sio level zako ndio maana una huu mtazamo
Wewe ndio mwenye tatizo ,kuna namna hauna ushawishi nnje na pesa🤔mbona hata hawa wa level yangu hawatoi penzi bure?
Sio kweli, ni wewe tu haupewi kuna namna wanakuona🤔Zamani mwanaume alipewa penzi bure kutokana na wajihi wake, ni handsome boy, amejaziajazia misuli na anapeleka moto kisawasawa. Siku hizi hupati penzi kwa sifa hizo, sifa ni uwe na uwezo wa kifedha, hata kama una mbilimbi mwanamke haoni dosari atakupa penzi tu
huwa siingizi timu uwanjani kama naona demu ni ghali na sina uwezo wa kumpata hata kama ni pisi kali nimemtamani labda anishobokee mwenyewe hapo ndio napata ujasiri wa kumtokea na kumuimbisha mashairiKuna namna una force mapenzi kwa wanawake ambao sio level zako ndio maana una huu mtazamo
Hili ni tatizo la kimkakati maana yake bila pesa wewe ni ngumu kuwa na sifa za kiiume😅huwa siingizi timu uwanjani kama naona demu ni ghali na sina uwezo wa kumpata hata kama ni pisi kali nimemtamani labda anishobokee mwenyewe hapo ndio napata ujasiri wa kumtokea na kumuimbisha mashairi