Kuna wenzetu huwa wanapata wapenzi/wake mpaka unashangaa kampendea nini, maana ukimuangalia huoni mvuto wowote wa kimahaba, unajiuliza jamaa anafaidi nini na kampata kwa gharama gani? Wapo pia wote mke na mume wanajuana wenyewe wanavutiana nini maana wote hawana haiba ya kimapenzi/kimahaba, hawako sexy/romantic, ndio wale wakifunga ndoa hawatuoneshi manjonjo ya awali watakapokutana faraghani wawili tu kunako majamboz watafurahiana vipi.