matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Najua.Upepo unapimika kabisa labda wewe tu ndio haujui?
Ndio maana uwepo wa Mungu pia ni makubaliano tu kama ilivyo kg na time mtu anaweza kuishi vizuri kabisa nnje ya hayo makubaliano pia , mfano mimi binafsi naishi kwa uhalisia wa mambo nasio kwa nadharia ya uwepo wa Mungu.Najua.
Vipimo vingi ukienda ndani kabisa kwenye vyanzo ni makubaliano ya watu sio ushahidi usiopingika.
Mfano ukisikia 1Kg hii ilianza kwa watu kukubaliana huko Ufaransa kitu kikiwa hivi ni kilo moja. Sio lazima iwe kweli. Vyanzo vya mambo mengi unayoyaona kama ni kitaalam baseline ilikiwa ni evidenceless agreements
That's nature, it is the way it is.Kwa hiyo, hata kifo ni asili siyo? Then, why ask: why does the sun shine, or why does the rain fall and the wind blows?
Watafiti na watu ambao wamewekeza maisha yao kwenye kubuni makubaliano ambayo baadae yananambikwa usayansi na zinatafutwa maabara kutia muhuri makubaliano, wanapoangalia mtu tu alivyocomplex lakini organized beyond human capacity, wanapoangalia dunia na universe ilivyopangika wanaamini kabisa kuna Intelligent designer behind kinachoendelea.Ndio maana uwepo wa Mungu pia ni makubaliano tu kama ilivyo kg na time mtu anaweza kuishi vizuri kabisa nnje ya hayo makubaliano pia mfano mimi binafsi naishi kwa uhalisia wa mambo nasio kwa nadharia ya uwepo wa Mungu.
What is the source of nature.That's nature, it is the way it is.
UnaushahidiThat's nature, it is the way it is.
Hiyo dhana ya kutazama kitu kilivyo complex nakusema yupo msanifu , pia huyo msanifu lazima awe complex zaidi .Watafiti na watu ambao wamewekeza maisha yao kwenye kubuni makubaliano ambayo baadae yananambikwa usayansi na zinatafutwa maabara kutia muhuri makubaliano, wanapoangalia mtu tu alivyocomplex lakini organized beyond human capacity, wanapoangalia dunia na universe ilivyopangika wanaamini kabisa kuna Intelligent designer behind kinachoendelea.
Sisi tunaamini kazi za Mungu alizoumba zinamtangaza yeye nau wepo wake kama utazochunguza kwa utivu. Ndio maana mababu zako walikuwa wanatekewa wanachagua mti au jua wanasema ndio liko nyuma ya kila kitu.
Pia ndani kabisa ya mwanadamu yeyote Mungu ameweka mifumo ya kumtambulisha automatally. Ndio maana mtu kujipa kazi ya kumtetea Mungu ni matokeo ya ujinga. Mungu hatetewi yeye ameshajidhihirisha kwa kila kazi zake, hadi wanyama pori wanajua. Na ili mtu apinge ataanza kukataa ushahid wa wazi ndani yake, kama atakuwa siriasi kidogo kwenye kupinga kwake.
Huu ndio huwa usafikisho wangu nisioutil8a shaka.
This is logical Contradiction.Imqni ni kuwa na uhakika na mambo ambayo kikawaida hayana uhakika.
Illogical.Ushahidi wa uhakika huo sio sayansi bali kauli za Mungu.
Hapo nilikuwa nakupa mfano wewe unayesema huna Imani wakati kunamambo mengi unayafanya kwa imani kwa sababu hayana uhakika na lazima uyafanye tu.
Sisi watu wa Mungu hayohayo ambayo hayana uhakika kibinadamu uhakika wetu au ushahidi wa uhak8ka wetu sio physical au scientific au biological au environmental bali ni kauli za Mungu au neno.
Naona kama wewe ndio unajijanganya nilipoongea kutokea upanxe wako na ninapoongea kwa kitokea upande wangu wa uhakika kwa yasiyokuwa na uhakika
Ulimwengu na vyote vilivyomo ni nature na ndio ushahidi huo.Unaushahidi
Nature ipo kwenye mzunguko wa duara hata hiyo dhana ya Mungu nayo ipo ndani ya nature yaani uwepo wake inategemea uwepo wa wanadamu wanaoamini ambao wapo ndani ya nature.What is the source of nature.
Ishu ni basis ya uhakika wako kwa vitu visivyo na uhakika.This is logical Contradiction.
Unasema mambo hayana uhakika, Halafu hapohapo unasema ni kuwa na uhakika!!
Illogical.
Illogical.
Ulichoandika ndio source of nature hahahaha au ni imaniNature ipo kwenye mzunguko wa duara hata hiyo dhana ya Mungu nayo ipo ndani ya nature yaani uwepo wake inategemea uwepo wa wanadamu wanaoamini ambao wapo ndani ya nature.
Unazungumza vitu visivyo na logic.Usihamehame. Jibu ufafanuzi,
Asante kwa maoniUnazungumza vitu visivyo na logic.
Unazungumza vitu vyenye logical Contradictions.
Yani unanipa kazi ya kuanza kurekebisha hizo contradictions.
Asante kwa maoni. Vitu vyako ni vyakusadikika zaidi, maana huna uwezo wa kuvieleza. Umebobea kupinga vyetu huku vyako no baseless
Hapo hakuna imani ni uhakika wewe na vyote ni sehemu ya asili na kila kimoja kipo kwa kutegemeana katika mzunguko.Ulichoandika ndio source of nature hahahaha au ni imani
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.Asante kwa maoni
Chanzo cha hiyo asili ni nini?Hapo hakuna imani ni uhakika wewe na vyote ni sehemu ya asili na kila kimoja kipo kwa kutegemeana katika mzunguko.
https://www.facebook.com/Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.
Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.
Kuhusu uwepo wa Mungu, hiyo kazi hajawahi kumpa mtu, yeye mwenyewe qmeshajithibitisha ndani ya kila kiume chake. Hizo mijadala nimeziacha miaka 10 iliyopita.Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Unabaki kufosi fosi tu imani, mawazo na dhana ya kufikirika.
Kutumia Biblia kusema kwamba ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni sawa na kutumia Comic book kusema ndio uthibitisho wa uwepo wa Harry Potter.