Watafiti na watu ambao wamewekeza maisha yao kwenye kubuni makubaliano ambayo baadae yananambikwa usayansi na zinatafutwa maabara kutia muhuri makubaliano, wanapoangalia mtu tu alivyocomplex lakini organized beyond human capacity, wanapoangalia dunia na universe ilivyopangika wanaamini kabisa kuna Intelligent designer behind kinachoendelea.
Sisi tunaamini kazi za Mungu alizoumba zinamtangaza yeye nau wepo wake kama utazochunguza kwa utivu. Ndio maana mababu zako walikuwa wanatekewa wanachagua mti au jua wanasema ndio liko nyuma ya kila kitu.
Pia ndani kabisa ya mwanadamu yeyote Mungu ameweka mifumo ya kumtambulisha automatally. Ndio maana mtu kujipa kazi ya kumtetea Mungu ni matokeo ya ujinga. Mungu hatetewi yeye ameshajidhihirisha kwa kila kazi zake, hadi wanyama pori wanajua. Na ili mtu apinge ataanza kukataa ushahid wa wazi ndani yake, kama atakuwa siriasi kidogo kwenye kupinga kwake.
Huu ndio huwa usafikisho wangu nisioutil8a shaka.