kila kitu kipo tu kama unavyokiona katika ukamilifu wake.Chanzo cha hiyo asili ni nini?
Amejithibitisha kivipi?Kuhusu uwepo wa Mungu, hiyo kazi hajawahi kumpa mtu, yeye mwenyewe qmeshajithibitisha ndani ya kila kiume chake. Hizo mijadala nimeziacha miaka 10 iliyopita.
Imani yako ya uwepo wa Mungu ni uongo.Ndio maana ninejikita kwenye imani. Siwezi kufanya kazi ambayo Mungu mwenyewe ameshaifanya.
Haya ni makubaliano au taarifa ya kitaalamkila kitu kipo tu kama unavyokiona katika ukamilifu wake.
Asante kwa haya maoniAmejithibitisha kivipi?
Labda amejithibitisha huko kichwani mwako kwenye mawazo yako ya kufikirika tu.
Hakuna Mungu aliyewahi kujithibitisha mahali popote pale.
Imani yako ya uwepo wa Mungu ni uongo.
Mpaka pale utakapoweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Au huyo Mungu ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.
Kila kitu except man-made things ni chanzo cha chenyewe.Chanzo cha hiyo asili ni nini?
Reference ya haya maelezo ni wewe au naniKila kitu except man-made things ni chanzo cha chenyewe.
Pia Asante kwa hadithi na masimulizi ya kufikirika ya Mungu wa kufikirika.Asante kwa haya maoni
Ni uhalisia ulivyo.Reference ya haya maelezo ni wewe au nani
Hizo sio hadithi.Pia Asante kwa hadithi na masimulizi ya kufikirika ya Mungu wa kufikirika.
Uhalisia ni nini.Ni uhalisia ulivyo.
Inaonekana wazi, Binadamu Hawaumbwi.i au ni Balia ke wanazaliana wenyewe kwa wenyewe. Au Hii tayari ni reference tosha.
Sasa wewe njoo na reference yako inayo onyesha na kuthibitisha huyo Mungu anaumba au aliumba binadamu.
Leta huo ushahidi na uthibitisho hapa.Hizo sio hadithi.
Maana zinaushahidi wa kiuzoefu.
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Unaanza kuruka ruka.Haya yako ni maneno tu ya vijiwe vya wazungu waliokata tamaa na maisha. Wanakuwa wanafarijiana na kutafuta watu wa kuwaunga mkono.
Mambo ya Mungu ni Universal
Yqani bila watu kuwasiliana, tangu uwepo wao kila society inaamini kuna being beyond humanity. Wewe unaletsa story za vikundi vya watu wachache ambao wamepoteza dira za kimaisha.
Samahani bro ila hapa umejibu umepuyangaKatika yote unamlaumu Munguz wewe umefanya Nini kuwasaidia wale maskini waliopo mtaani kwako?
Lini umexchukua nguo ukamvisha kichaa au mtu mtaani? Mateso, kifo, magonjwa, njaa yote ni matokeo ya Mwanadamu kujitenga na Mungu.
Kwa Mungu Kuna ukamilifu, pasipo uwepo wa Mungu Kuna maafa. Angalia Nchi ambazo si za kikristo mateso yanavyo wapata watu huko
Hakuna binadamu wa kwanza wa watu wote.Uhalisia ni nini.
Wanadamu wanazaliana tu. Unaweza kunipa reference ya binadamu wa kwanza kuanza kuzaa alikuwa ke au me.
Au unaushahidi au ni jibu ni uhalisia hahahahah
Mbona kama hauna maarifa kuhusu vitu unavyosimamia mkuu.Hakuna binadamu wa kwanza wa watu wote.
Uwepo wa utofauti wa vinasaba DNA🧬 ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza.
Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa vizazi vyote duniani, Tusinge tofautiana DNA na races zetu.
Wote tungekuwa binadamu wa aina moja. Either wote tungekuwa watu weupe tu, Au wote weusi tu.
Ukisema kuna binadamu wa kwanza, Toa uthibitisho alikuwa wa rangi gani huyo binadamu wa kwanza?
Je alikuwa mzungu mweupe, mchina, Mfilipino, mhindi, mjapan au mwafrika mweusi?
Hakuna sehemu nimekushambulia.Mbona kama hauna maarifa kuhusu vitu unavyosimamia mkuu.
Mimi ninapokuhoji nataka ujibu kwa mujibu wa msimamo wako unaoutumia kujenga hoja sio kushambulia swali langu.
Asili ya binadamu ni binadamu.Naomba maelezo yako kuhusu binadamu na asli yake hata kama hakuna wa kwanza au walikuwa kila bara
Mimi siamini kwenye kuamini. Sihitaji kuamini.mimi nataka kujua wewe unaamini nini kuhusu chanzo cha huo uhalisia wa kuzaliana tu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na asili, Hata asili ya kila kitu lazima iwe na asili yake nyingine.Hapo ni kama umeanzia njiani. Nataka unipe asili ya hao wanaozaliana ili nikuhoji inaonekana unauelwa mkubwa huko zaidi ya mambo yetu ya imani.
Usikwepe funguka nakusikiliza
Hujanishambulia mimi umeshambulia swali badala ya kulijibu. Usome tu vizuri.
Maelezo mengine hayajajibu swali. Maelezo yqko umesema uhalisia ni wanadamu kuazaliana tu.
Binadamu hawajaibuka.Mimi nimetaka kujua upande wako waliibuka tu wakazaliana?
Kama hamna viumbe vipya vinavyo ibuka, Pia binadamu na viumbe wengine hawakuibuka.Ilianza vipi? Na mbona hakuna viumbe wapya tunaowaona wakiibuka na kuzaliaana ambao chanzo chao labda ni mwaka jana au juzi.
Umetumia nini kuhitimisha wamekuwepo wakati wote. Hisia au imani au mazoeaBinadamu hawajaibuka.
Binadamu wamekuwepo duniani kwa wakati wote.
Kama hamna viumbe vipya vinavyo ibuka, Pia binadamu na viumbe wengine hawakuibuka.
Binadamu na viumbe wengine wote except man-made things Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Havijaibuka kutoka mahali pengine. Vimekuwepo duniani milele.
Nimetumia logic ya uhalisia.Umetumia nini kuhitimisha wamekuwepo wakati wote. Hisia au imani au mazoea