Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

Kuhusu uwepo wa Mungu, hiyo kazi hajawahi kumpa mtu, yeye mwenyewe qmeshajithibitisha ndani ya kila kiume chake. Hizo mijadala nimeziacha miaka 10 iliyopita.
Amejithibitisha kivipi?

Labda amejithibitisha huko kichwani mwako kwenye mawazo yako ya kufikirika tu.

Hakuna Mungu aliyewahi kujithibitisha mahali popote pale.
Ndio maana ninejikita kwenye imani. Siwezi kufanya kazi ambayo Mungu mwenyewe ameshaifanya.
Imani yako ya uwepo wa Mungu ni uongo.

Mpaka pale utakapoweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Au huyo Mungu ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.
 
Amejithibitisha kivipi?

Labda amejithibitisha huko kichwani mwako kwenye mawazo yako ya kufikirika tu.

Hakuna Mungu aliyewahi kujithibitisha mahali popote pale.

Imani yako ya uwepo wa Mungu ni uongo.

Mpaka pale utakapoweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Au huyo Mungu ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe kama ana huo uwezo.
Asante kwa haya maoni
 
Reference ya haya maelezo ni wewe au nani
Ni uhalisia ulivyo.

Inaonekana wazi, Binadamu Hawaumbwi. Bali wanazaliana wenyewe kwa wenyewe. Hii tayari ni reference tosha.

Sasa wewe njoo na reference yako inayo onyesha na kuthibitisha huyo Mungu anaumba au aliumba binadamu.
 
Pia Asante kwa hadithi na masimulizi ya kufikirika ya Mungu wa kufikirika.
Hizo sio hadithi.
Maana zinaushahidi wa kiuzoefu.
Haya yako ni maneno tu ya vijiwe vya wazungu waliokata tamaa na maisha. Wanakuwa wanafarijiana na kutafuta watu wa kuwaunga mkono.

Mambo ya Mungu ni Universal
Yqani bila watu kuwasiliana, tangu uwepo wao kila society inaamini kuna being beyond humanity. Wewe unaletsa story za vikundi vya watu wachache ambao wamepoteza dira za kimaisha.
 
Ni uhalisia ulivyo.

Inaonekana wazi, Binadamu Hawaumbwi.i au ni Balia ke wanazaliana wenyewe kwa wenyewe. Au Hii tayari ni reference tosha.

Sasa wewe njoo na reference yako inayo onyesha na kuthibitisha huyo Mungu anaumba au aliumba binadamu.
Uhalisia ni nini.
Wanadamu wanazaliana tu. Unaweza kunipa reference ya binadamu wa kwanza kuanza kuzaa alikuwa ke au me.

Au unaushahidi au ni jibu ni uhalisia hahahahah
 
Hizo sio hadithi.
Maana zinaushahidi wa kiuzoefu.
Leta huo ushahidi na uthibitisho hapa.
Haya yako ni maneno tu ya vijiwe vya wazungu waliokata tamaa na maisha. Wanakuwa wanafarijiana na kutafuta watu wa kuwaunga mkono.
Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Unaanza kuruka ruka.

Nakwambia hivi, leta huo ushahidi na uthibitisho wa huyo Mungu.

Na si imani na mawazo yako uchwara ya kufikirika.
Mambo ya Mungu ni Universal
Yqani bila watu kuwasiliana, tangu uwepo wao kila society inaamini kuna being beyond humanity. Wewe unaletsa story za vikundi vya watu wachache ambao wamepoteza dira za kimaisha.
 
Katika yote unamlaumu Munguz wewe umefanya Nini kuwasaidia wale maskini waliopo mtaani kwako?

Lini umexchukua nguo ukamvisha kichaa au mtu mtaani? Mateso, kifo, magonjwa, njaa yote ni matokeo ya Mwanadamu kujitenga na Mungu.

Kwa Mungu Kuna ukamilifu, pasipo uwepo wa Mungu Kuna maafa. Angalia Nchi ambazo si za kikristo mateso yanavyo wapata watu huko
Samahani bro ila hapa umejibu umepuyanga
 
Uhalisia ni nini.
Wanadamu wanazaliana tu. Unaweza kunipa reference ya binadamu wa kwanza kuanza kuzaa alikuwa ke au me.
Hakuna binadamu wa kwanza wa watu wote.

Uwepo wa utofauti wa vinasaba DNA🧬 ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza.

Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa vizazi vyote duniani, Tusinge tofautiana DNA na races zetu.

Wote tungekuwa binadamu wa aina moja tu. Either wote tungekuwa watu weupe tu, Au wote weusi tu.

Ukisema kuna binadamu wa kwanza, Toa uthibitisho alikuwa wa rangi gani huyo binadamu wa kwanza?

Je alikuwa mzungu mweupe, mchina, mfilipino, mhindi, mjapan au mwafrika mweusi?
Au unaushahidi au ni jibu ni uhalisia hahahahah
 
Hakuna binadamu wa kwanza wa watu wote.

Uwepo wa utofauti wa vinasaba DNA🧬 ni uthibitisho tosha kwamba hakuna binadamu wa kwanza.

Kama kungekuwa na binadamu wa kwanza kwa vizazi vyote duniani, Tusinge tofautiana DNA na races zetu.

Wote tungekuwa binadamu wa aina moja. Either wote tungekuwa watu weupe tu, Au wote weusi tu.

Ukisema kuna binadamu wa kwanza, Toa uthibitisho alikuwa wa rangi gani huyo binadamu wa kwanza?

Je alikuwa mzungu mweupe, mchina, Mfilipino, mhindi, mjapan au mwafrika mweusi?
Mbona kama hauna maarifa kuhusu vitu unavyosimamia mkuu.
Mimi ninapokuhoji nataka ujibu kwa mujibu wa msimamo wako unaoutumia kujenga hoja sio kushambulia swali langu.

Naomba maelezo yako kuhusu binadamu na asli yake hata kama hakuna wa kwanza au walikuwa kila bara mimi nataka kujua wewe unaamini nini kuhusu chanzo cha huo uhalisia wa kuzaliana tu. Hapo ni kama umeanzia njiani. Nataka unipe asili ya hao wanaozaliana ili nikuhoji inaonekana unauelwa mkubwa huko zaidi ya mambo yetu ya imani.

Usikwepe funguka nakusikiliza
 
Mbona kama hauna maarifa kuhusu vitu unavyosimamia mkuu.
Mimi ninapokuhoji nataka ujibu kwa mujibu wa msimamo wako unaoutumia kujenga hoja sio kushambulia swali langu.
Hakuna sehemu nimekushambulia.

Maswali mengine unayo uliza hayana logic.

Na tukiyaweka kwenye logic hayo maswali yako, Utaona kabisa kwamba haya make sense!
Naomba maelezo yako kuhusu binadamu na asli yake hata kama hakuna wa kwanza au walikuwa kila bara
Asili ya binadamu ni binadamu.

Kwa nini unataka asili nyingine isiyo ya kibinadamu?

Kwani binadamu hawezi kuwa asili yake mwenyewe?

Mbona wewe asili yako, ni wazazi wako?

Sasa unataka asili gani nyingine tofauti na wazazi wako?

Au unataka asili ya binadamu iwe nini? Ndio ukubali kwamba hiyo ndio asili.

Asili ya binadamu ni binadamu.
mimi nataka kujua wewe unaamini nini kuhusu chanzo cha huo uhalisia wa kuzaliana tu.
Mimi siamini kwenye kuamini. Sihitaji kuamini.

Mimi najua binadamu wanazaliana wenyewe tu.

Na chanzo cha kuzaliana kwa binadamu, kinatokana na binadamu wenyewe.

Unless otherwise, ithibitike kivingine.
Hapo ni kama umeanzia njiani. Nataka unipe asili ya hao wanaozaliana ili nikuhoji inaonekana unauelwa mkubwa huko zaidi ya mambo yetu ya imani.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na asili, Hata asili ya kila kitu lazima iwe na asili yake nyingine.

Hata huyo Mungu unayedai yupo, lazima awe na asili yake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu, pasipo asili. Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu pasipo asili.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina asili. Basi hata binadamu, viumbe na vitu vingine vyote except man-made things Havina na havihitaji kuwa na Asili.
Usikwepe funguka nakusikiliza
 
Hujanishambulia mimi umeshambulia swali badala ya kulijibu. Usome tu vizuri.

Maelezo mengine hayajajibu swali. Maelezo yqko umesema uhalisia ni wanadamu kuazaliana tu.
Mimi nimetaka kujua upande wako waliibuka tu wakazaliana? Ilianza vipi? Na mbona hakuna viumbe wapya tunaowaona wakiibuka na kuzaliaana ambao chanzo chao labda ni mwaka jana au juzi.
 
Hujanishambulia mimi umeshambulia swali badala ya kulijibu. Usome tu vizuri.

Maelezo mengine hayajajibu swali. Maelezo yqko umesema uhalisia ni wanadamu kuazaliana tu.

Mimi nimetaka kujua upande wako waliibuka tu wakazaliana?
Binadamu hawajaibuka.

Binadamu wamekuwepo duniani kwa wakati wote.
Ilianza vipi? Na mbona hakuna viumbe wapya tunaowaona wakiibuka na kuzaliaana ambao chanzo chao labda ni mwaka jana au juzi.
Kama hamna viumbe vipya vinavyo ibuka, Pia binadamu na viumbe wengine hawakuibuka.

Binadamu na viumbe wengine wote except man-made things Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.

Havijaibuka kutoka mahali pengine. Vimekuwepo duniani milele.
 
Binadamu hawajaibuka.

Binadamu wamekuwepo duniani kwa wakati wote.

Kama hamna viumbe vipya vinavyo ibuka, Pia binadamu na viumbe wengine hawakuibuka.

Binadamu na viumbe wengine wote except man-made things Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.

Havijaibuka kutoka mahali pengine. Vimekuwepo duniani milele.
Umetumia nini kuhitimisha wamekuwepo wakati wote. Hisia au imani au mazoea
 
Umetumia nini kuhitimisha wamekuwepo wakati wote. Hisia au imani au mazoea
Nimetumia logic ya uhalisia.

Katika uhalisia hakuna kinacho umbwa.

Kila kitu except man-made things, vinazaliana vyenyewe automatically.

Haviumbwi.

Sasa wewe unayedai na kufosi vitu vimeumbwa na huyo Mungu, ilhali kwenye uhalisia huyo Mungu haonekani. Madai yako ni ya uongo.

Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
 
Back
Top Bottom