Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
- Thread starter
- #61
Ad hominem attack.Tulia wewe huna hoja.
wew
Badala ya kujibu hoja kwa hoja, Unamshambulia mleta hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ad hominem attack.Tulia wewe huna hoja.
wew
Religion is like a bad charger 🔌 instead of charging you to 100% it drains you to 0%.
Ili tupate mapovuAdministration nyuzi Kama hizi kwanini mna approve?
Katika yote unamlaumu Munguz wewe umefanya Nini kuwasaidia wale maskini waliopo mtaani kwako?Mungu gani ameshindwa na anashindwa kuwapigania maelfu ya watoto wachanga na wanawake wanaoteseka na wanaokufa kila kukicha maeneo mbalimbali duniani kwa njaa, vita, magonjwa na majanga ya asili?
Hivi huyo Mungu anasaidia nini?
Maelfu ya watoto wachanga wasio na hatia yeyote ile wamekufa huko Gaza kwa vita, wamekufa kwa majanga ya asili kama kimbunga idai kilichoua maelfu ya watu Mozambique na Malawi na maeneo mengine duniani.
Halafu unasema huyo Mungu anasaidia?
Anasaidia nini?
View attachment 3178057
Kwa hiyo unataka tuwe tunamkubali nani kati ya mwanasayansi au mtu aliyesoma historia ya sayansi ?Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.
Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.
Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.
Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.
Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.
Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.
Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?
Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.
Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.
Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.
No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.
No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.
During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.
The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.
Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.
Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.
In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.
If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.
Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.
Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.
I'm out.
Ni vita watu hufanya kutetea presence ya Imani Yao katika eneo au ukanda na mara nyingi hufanyika Kwa Kuua au kuwateketeza wale wenye Imani tofauti na Yako.Vita vya kiimani ni nini? Vikoje? Fafanua.
Jikubali wewe mwenyewe na mawazo yako.Kwa hiyo unataka tuwe tunamkubali nani kati ya mwanasayansi au mtu aliyesoma historia ya sayansi ?
Nimeshatoa michango mingi sana kusaidia wahitaji.Katika yote unamlaumu Munguz wewe umefanya Nini kuwasaidia wale maskini waliopo mtaani kwako?
Thibitisha ni lini huyo Mungu alishawahi kusaidia watu?Lini umexchukua nguo ukamvisha kichaa au mtu mtaani? Mateso, kifo, magonjwa, njaa yote ni matokeo ya Mwanadamu kujitenga na Mungu.
Hata hapa Tanzania tu kwenye ukristo kuna watu wanateseka sana licha ya kumtumainia huyo Mungu.Kwa Mungu Kuna ukamilifu, pasipo uwepo wa Mungu Kuna maafa. Angalia Nchi ambazo si za kikristo mateso yanavyo wapata watu huko
Unakataa hakuna Mungu, mwezi unaghaa angani nani ameweka hapo? Nani alifungua fuzu la kichwa na kupachika ubongo? Nani alimweka mtoto ndani ya tumbo la mama na kuishi kwenye maji? Nani alitengeneza ngozi na kumba wanyama na samaki majini.Nimeshatoa michango mingi sana kusaidia wahitaji.
Na nimeshuhudia wahitaji wengi wakisaidiwa na binadamu sio Mungu.
Huyo Mungu ni dhana uchwara tu mliyo jitungia vichwani mwenu na kuipa sifa isizo zistahili.
Hakuna Mungu aliyewahi kusaidia kitu chochote kile
Binadamu ndio tunasaidiana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Thibitisha ni lini huyo Mungu alishawahi kusaidia watu?
Maelfu ya watu hasa wanawake na watoto wasio na hatia yeyote ile wana teseka na wanaendelea kuteseka duniani kwa njaa, vita, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili.
Licha ya kusali sana, kuomba sana, kufunga sana na kumlilia huyo Mungu awasaidie shida zao, Lakini hakuna kinacho tokea.
Wengi wanazidi kuumia, kuteseka na kufa. Halafu huyo Mungu anayedaiwa yupo, Haonekani kusaidia kitu chochote kile!!View attachment 3178468
Hata hapa Tanzania tu kwenye ukristo kuna watu wanateseka sana licha ya kumtumainia huyo Mungu.
Na si kweli kwamba nchi zenye ukristo watu hawateseki.
Wanateseka sana.
Hakuna uhusiano wowote ule wa uwepo wa ukristo na watu kutokuteseka.
Sasa kama Lazima utafute, Kuna haja gani ya kumtegemea huyo Mungu?Biblia inasema tafuteni nanyi mtaona,huezi achia haki Yako burebure ni akili pungufu tunaitafuta kwa bidii zote ikishindika kwa juu ya uwezo ndo tunamwachia muumbaji wa ulimwengu
Hakuna kitu chochote kile kilicho umbwa na Mungu.We kama huamini uwapo wa Mungu nakuuona huu uumbaji tata ni matokeo ya ajali hiyo ni akili Yako TU mkuu
Huyo Mungu na yeye kawekwa na nani?Unakataa hakuna Mungu, mwezi unaghaa angani nani ameweka hapo?
Hakuna.Nani alifungua fuzu la kichwa na kupachika ubongo?
Hakuna.Nani alimweka mtoto ndani ya tumbo la mama na kuishi kwenye maji?
HakunaNani alitengeneza ngozi na kumba wanyama na samaki majini.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Mungu yupo
Thibitisha na ueleze ulimshuhudia wapi huyo Mungu kwenye maisha yako?na Mimi nimemshuhudia kwenye mambo mengi kwenye maisha yangu?
Hakuna.Usiku ukilala, njozi unaoyoota nani amekuwekea kichwani mwako? Think vizuri Kaka.
Mimi sijaumbwa.Kama haujajiumba basi, usimdharau muumba wako, mtafute, muombe atajidhiririsha kwako.
Ni vizuri kujikubali .Jikubali wewe mwenyewe na mawazo yako.
Kisha yafanyie kazi.
Hata hao wanasayansi walianza kujikubali wao Kwanza na mawazo yao. Kisha wakayafanyia kazi.
Dini inahusika sana.Ni vizuri kujikubali .
Ila mambo mengine unaisingizia dini . Mfano Tanzania kila kinachofanyika wasomi wanasema ni mama ndiye ametoa hela zake lakini wasomi haohao hawajui kuwa wananchi huwa wanalipa kodi na wao huwa wanakatwa kodi kwenye mishahara yao . Aina ya elimu inayotolewa Africa ndiyo inawafanya watu kuwa wajinga na waoga , dini haihusiki .
Ukiona mtu yoyote anatumia dini yake kuwa hukumu wengine hukumu za dini yake huyo ni MUHALIFU MOJA KWA MOJA bali dini ni kujihukumu wewe mwenyewe juu ya nafsi yako sawa sawa na dini yako...hukumu yoyote iliyo nje ya nafsi yako inatakiwa kuzingatia HAKI TU siyo dini yako.mfano zanzibar wanazuia watu wasile chakula mwezi wa Ramadhan huko ni kutumia dini kuhukumu nafsi za wengine ni uhalifu...na ushahidi wa hili hupo hata kwenye msahafu na bibliaFaida yake ni kujifariji tu na kuwa na tumaini la kuishi , shida inakuja pale watu wanaposema hilo jambo ndio kweli na kufikia hatua hata ya kuuana kwa sababu ya hizo imani.
Mwalimu nyerere angetulia tu kwa Imani, una uhakika leo hii Kagera ingekua Tanzania.
Ukraine wangetulia tu kwa Imani leo hii wangekua wapi?
Ndio mana hua nawaambia dini ni chanzo cha umasikini.
Umepewa ubongo,macho,miguu,mikono na kadhalika ilivikusaidie kutafuta.Aliyekuumba alijua utaishi ktk ulimwengu wa kutafutaSasa kama Lazima utafute, Kuna haja gani ya kumtegemea huyo Mungu?
Hakuna kitu chochote kile kilicho umbwa na Mungu.
Vitu vyote vilivyomo except man-made things, Havijaumbwa. Vimekuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Hakuna Mungu aliyeumba kitu chochote kile.
Ni nyie tu watu wa imani, mnajaribu kufosi kwamba Ulimwengu uliumbwa.
Kwa nini ulizaliwa bila kupenda, unakua bila kupenda, na unakufa bila kupenda? Lini ulijipigania kuzaliwa? Lini ulijipigania kukua (to develop)? Lini ulijipigania kufa?Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika.
Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania kwa nguvu zote na mabishano makali kabisa.
Lakini huyo Mungu wanaye mpigania miaka nenda rudi hajawahi kuonekana, kujitokeza, kujidhihirisha wala kuwasaidia chochote. Ni watu tu wanabaki kudai, kujifariji na kujipa matumaini uchwara kwamba wanasaidiwa na "Mungu" ilhali kiuhalisia ni wao wenyewe wanahenyeka na kukabiliana na matatizo yao.
Lakini cha kushangaza likija suala la kutetea na kupigania haki zao za msingi katika jamii wanamwachia Mungu awapiganie! Na huyo Mungu hajawahi kuwapigania kwa lolote.
Waafrika maskini wanazidi kuhujumiwa na viongozi wao wa kiserikali, Kodi zao zinaliwa, Haki zao zinaminywa, Mali na rasilimali zao zinaporwa na kutumiwa hovyo hovyo tu.
Halafu watu wanabaki kutulia na kusema tunamwachia Mungu, Mungu atatusaidia, Mungu atatulipia na kutupigania.
Sasa unajiuliza hizo nguvu za kumpigania huyo Mungu wa kufikirika kwenye dini,
Wakizielekeza na kuzitumia kwenye kupigania haki zao za msingi katika jamii zao si wataishi maisha safi kabisa?
Lakini kwa vile wengi wa waafrika wamesha pumbazwa na kuaminishwa utajiri na ufalme wa kufikirika mbinguni wala hawajihangaishi kupigania haki zao za msingi hapa duniani.
Watu wanaishi kwa kujipa matumaini uchwara ya maisha bora ya kufikirika mbinguni. Huku wakizidi kuteseka na umaskini wao, kuhujumiwa na kusulubishwa ipasavyo na viongozi wao wa serikali.
Katika maswala ya "Imani" binadamu ni kiumbe mpumbavu sana. Badala ya kujipigania yeye mwenyewe, Anapigania dhana ya kufikirika iitwayo Mungu ambayo kiuhalisia hata haijawahi kuwepo na haipo kujidhihirisha yenyewe.
No amount of prayers, faith, hope and grace can solve your problems in life for you.
No matter how strong you shout or scream the name of God in what you call praying, Your life will be miserable if you don't think, reason, plan and take productive actions to solve your own problems in life.
During those darkest moments in life when it feels like God has abandoned you, Remember that God was never with you in the first place. Because he doesn't exist in reality. He exists only in your head and in your imaginations.
The same God who has disappointed uncountable people in the world, Keep disappointing many people daily including you.
Any country waiting for God to come and help them will forever remain poor economically, medically, academically, technologically until such mental slavery religious faith is totally abolished.
Any person waiting for God to come and solve his or her problems in life will forever remain poor financially, Until such mental slavery religious faith is totally abolished.
In the jungle of life salvation is largely on your hands. No God, spiritual power or ritual can solve your problems.
If you are born into a poor financial foundation and you keep waiting for God to come and help you, You will suffer financially and die miserably.
Poverty strikes hard when laziness and ignorance is combined with prayers.
Take this bitter truth and let it sink deep in your mind.
I'm out.
Hii ni imani yako, mkuu ila hawa ni watu halisi na hadi kuna archeological findings nyingi zinazoonyesha usahihi wa biblical stories.Wote ulio wataja hapa ni fictional characters. Wana exist vitabuni tu kwenye hadithi na masimulizi ya kale.
Hakuna uthibitisho wowote ule wa uwepo wao.
Hawana tofauti na Abunuwasi wa kwenye Hekaya za kutungwa tu.