P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Mimi niliwahi kukata uwepo wake, lakini yeye alinitafuta na alinithibitishia kupitia ndoto, kile nilichomwomba alinijibu, nilipohitaji zungumza nae alizungumza nami kupitiia neno lake na kupitia watu mbalimbali.Amekuambia wapi? Lini? Mwaka gani? Mwezi upi? Tarehe ipi? Siku ipi? Na muda gani exactly aliokwambia?
Moja kubwa kuliko ni kunipa familia ambayo imenikuza kufikia hapa. Sikuwahi wafahamu wazazi wangu mpaka Leo na mara nyingi niliwahi mlaumu Mungu. Lakini nilikuja kugundua binadamu sisi tunapoanguka Mungu anatutetea na kutuinua, amenitengeneza mpaka nafikia umri huu nimeoa amenifanyia mengi. Nilipomwomba amefanya, nilipomuhitaji alikuwepo karibu.