Lindi hadi Mbeya kwa barabara kuna umbali gani?

Lindi hadi Mbeya kwa barabara kuna umbali gani?

Naomba kuuliza Kwa mwenye kujua ...ukitoka Lindi Hadi Mbeya Kwa barabara...umbali ukoje kulinganisha na Dar Hadi Mbeya.

Hali ya barabara pia ikoje?
Barabara ipo vizuri ila sijajua kama Kuna gari la Moja Kwa Moja lindi mbeya. Ila masasi Hadi mbeya lipo sajda super feo na selous linafika saa tano-sita usiku
 
Hii safari sio ndogo ni kama Dar to Mwanza.

Screenshot_20230505-110401.png
 
Hiyo njia ya kusini si ya makorongo matupu?
Sijapita ila sina imani na barabara za kusini. Maana nilienda Lindi kuna sehemu nyingi sana kuna vipande vya maintenance.

Ila naamini kwakua ni barabara kuu inaweza kua mkeka mwanzo mwenga.
 
Mbona barabara iko njema tu mpaka bus luxury zipo?!!!
Sio Dar Lindi, kuna kipande tunavoenda Mtwara kutokea Lindi kilikua na marekebisho.

PXL_20220905_080324298.jpg


Pia kabla hujafika hapa mahala pa kula kama 1km palikua na issue. Ila naona ni marekebisho tu.
 
Lindi sijajua ila Kutokea Masasi mbeya ni zaid ya KM 1100 NA C ZAID YA KM1200

NAULI YA BUS NI Tshs 55000/-
 
Back
Top Bottom