Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hiyo pekee imetosha kufukuzwa kazi hapohapo alipo, na kesho kupandishwa mhakamani pumbavu sanahuyu awe wa mfano! akauze chips huko! kazi ya leseni kudai ni ya Traffic police na wenyewe walikuwa hapohapo! huu ni ujinga wa kiwango cha trump
Hivi vitu ndiyo unakutana na mtu ambaye ameshapiga cha Arusha, na kiunoni ana mguu wa kuku anakufumua ubongo na hicho kisime chako. Mwenzio ataishia kifungo cha maisha (maana kusaini kifo nayo mtihani) wewe umeshatangulizwa motoni huko.Hii ndiyo inaitwa kufanya kazi kwa mazoea, inaonekana hizo tabia keshazoea huyo
Walitakiwa wamkamate na wamfungulie shtaka la kutishia na kutaka kudhuru kwa silaha ya jadiHapo amewavua nguo polisi...
Ushamba unamsumbua. Sasa pale alitoa panga la nn? Halafu akalirudisha bila hata kuambiwa. Ushambaa tuuu.Walitakiwa wamkamate na wamfungulie shtaka la kutishia na kutaka kudhuru kwa silaha ya jadi
Kawavuaje polisi mkuu?Hapo amewavua nguo polisi...
Maajabu ya MusaKafanyiwa figisu dereva wa Lori ila waliolaani ni wamiliki wa mabasi!
Wamiliki wa malori hawana chama?