Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Fafanua mkuu kwa upana kidogoAmeshasimamishwa kazi tayari. Na dereva hakuandikiwa faini yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua mkuu kwa upana kidogoAmeshasimamishwa kazi tayari. Na dereva hakuandikiwa faini yoyote
Ameshasimamishwa kazi tayari. Na dereva hakuandikiwa faini yoyote
Kuna taarifa rasmi ya kuhusu hilo?Ameshasimamishwa kazi tayari. Na dereva hakuandikiwa faini yoyote
safiAmeshasimamishwa kazi tayari. Na dereva hakuandikiwa faini yoyote
Nchi hii kitu kinachoitwa utii wa sheria hakipo. Magufuli ndio muasisi wa Kuvunja sheriaHuyu awe wa mfano! akauze chips huko! kazi ya leseni kudai ni ya Traffic police na wenyewe walikuwa hapohapo! huu ni ujinga wa kiwango cha Trump.
Ana lafudhi ya "akanana kalilekona... in fwakti"[emoji1][emoji1]
Chama cha madereva Tanzania kimelaani vikali kitendo cha afisa wa Latra kutembea na silaha aina ya panga kwenye gari akiwa kazini na kutaka kumshambulia dereva mwenzao kabla askari wa barabarani hajaingilia kati na kumuokoa dereva.
Chama hicho kimeitaka serikali kumchukulia hatua kali afisa huyo na tayari mkurugenzi mkuu wa Latra amesema taasisi yake kwa kushirikiana na mkuu wa mkoa wa Lindi wameshamchukulia hatua afisa huyo mtata.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!

[emoji1784]aiseeDereva alijifanya mjuaji alitakiwa apokonywe reseni kabisa