Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

Anaitwa emanuel manase afisa latra lindi. Tukio limetokea lindi
Asante kwa taarifa mkuu.

Lakini kama mshkaji unamfahamu, mpe tu usia kwamba asije akajaribu tena hicho kitendo kwa mwanaume kama mimi, kwakweli nitamrarua hadi ashangae.

And by the way, maisha ya sasa hayataki nguvu. Kila kitu kimebadilika na mvumo wa maisha umebadilika, ni vyema mumshauri kwamba awe mwenye nidhamu maana hata kama anapiga kazi kama malaika na akakosa nidhamu tu kwenye kazi is equal to zero.
 
Manase Ni mtu wa mbeya msafwa.. kwenye kazi ni jembe sana ila mkorofi sana
Ujembe wake uko wapi mkuu? Kazi anayofanya wanaweza kufanya maelfu wengine tena kwa ufanisi na nidhamu ya hali ya juu. Kitendo cha kumtishia mtu na silaha tena kina constitute criminal offence hata kama hajamkata na hilo panga dereva. "Kua mtata" kwenye kazi hasa ya umma tena dhidi ya wateja wako (wateja wa serikali) ni "disqulification" na wala sio "qulification"
 
Yani kwa hasira ningejikuta naishia jela maisha yangu yote EE MUNGU BABA NIEPUSHE NA SHARI KAMA HIZI MWANAO (BASTOLA YA KICHWA PWAAAA SHENZ TAYPE)
 
Mnalalamika wakati Magufuli akiiona hii anafurahia?

Kweli kabisa. Sijawahi sikia magu akikemea manyanyaso wanayofanyiwa raia na wateule wake.
Hapa anafurahi kama mfuga mbwa anavofurahia mbwa wake wana
Kawavuaje polisi mkuu?
Kafanya Kaz ya kipolisi mbele ya polisi ilihali yeye si polisi.
But pia katisha usalamawa raia mbele ya wanaolinda USALAMA wa raia
 
Kama kuna ndugu na jamaa mwelekezini hapo alipo si salama sana kwa maisha yake.

Anapaswa kuelekezwa sana juu ya tukio alilofanya.Kuna 75 % siku lori likamzika hapo hapo alipo au maeneo hayo.

Anapaswa kuelewa sana hawa madereva wa Bus na Lori.Akue kwa haraka sana na ajitambue.
 
Kama kuna ndugu na jamaa mwelekezini hapo alipo si salama sana kwa maisha yake.

Anapaswa kuelekezwa sana juu ya tukio alilofanya.Kuna 75 % siku lori likamzika hapo hapo alipo au maeneo hayo.

Anapaswa kuelewa sana hawa madereva wa Bus na Lori.Akue kwa haraka sana na ajitambue.

Jamaa anaonekana limbukeni aseeee
 
Jamaa anaonekana limbukeni aseeee
Kweli kabisa Mkuu..ni tabia ya vijana wengi sana wa namna yake.
Kiburi chake ni mfano wa wengi kama huyo.
Mwezi wa saba mwaka huu kuna kisa flani cha mtumishi kama yeye.

Walisababisha ajali mbaya sana kwa kugonga watu watatu tena kati ya hao mmoja wao alikuwa mtumishi pia.

Wakaenda kuwabwaga Hospitali sasa katika kufuatilia fuatilia jamaa walikuwa wakorofi sana.

Tulifanikiwa kuondoka na mmoja wao,mbele ya askari Mtumishi yule alifanya tukio la ajabu sana.
Alichokutana nacho sidhani kama atasahau maisha yake yote.Tunawashukuru askari pia walimwajibisha baada ya kuona uwajibikaji wetu mbele yao 😀 😀 😀

Ashauriwe kuna muda atakutana na mikono sahihi kabisa inayomhusu.
 
Back
Top Bottom