Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.

Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.

Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.

Kwa kweli Hawa jamaa wa LATRA nadhani kuna haja kubwa ya kutoa maelekezo zaidi kutusaidia watumishi wa barabara. Maana unakamatwa barabarani unaambiwa ulipe faini kuanzia laki mojà kwenda juu,endapou huna hiyo fedha wanachukua gari.

The way wanavyokunyanganya gari haina tofauti na mwizi wa gari,maana fomu wanayokupatia ina jina tu la LATRA haina nembo ya serikali,hawatoi vitambulisho vyao kuonyesha gari yako ipo mikono salama.

Binafsi aina kwa mtindi huu watu wajiandae kuibiwa magari maana style wanayoitumia wezi wakiiga tutaumia.

2. Idara zao za kutoa taarifa ni vyema zikafanya kazi kwa ushirikiani na mwenye gari,ni vyema wakawa na sticker ili unapikamatwa kama upo willing kulipia sticker upewe control namba ulipie hapo hapo.

Binafsi nilijua magari ya chini ya busy tani mfano suzuki carry ambayo haifanyi biashara haikatiwi hicho kibali ghafa unakamatwa unaambiwa faini laki mbili na nusu kama huna unapokonywa gari.

Naiomba serikali iangalie jambo hili na kuliwekea utaratibu mzuri.

Mbona bima na ushuru wa barabara tunalipa bila tatizo iweje jambo hili tushikiane some?
 
Kuna atakayetaka kumuajiri tena kwa negative trend aliyopata. Labda ofisi za kipuuzi. Credible orgs haziwezi haribu reputation ya ofisi kwa kumwajiri mtu kama yeye

Upo sahihi sana. Serikali hii inavyoshangaza anaweza akapandishwa cheo kabisa mbeleni.. maana namba moja mwenyewe anajulikana alivyo
 
[emoji28][emoji1787][emoji28] kwa serikali hii chochote kinawezekana.
 
Manase Ni mtu wa mbeya msafwa.. kwenye kazi ni jembe sana ila mkorofi sana
Du, watu wa Mbeya bwana!

Ona sasa, hasira hasara, huenda akaenda kulima viazi mviringo uswafwani maana ajira siku hizi zinapatikana CCM tu, na Mbeya CCM hawaitaki!
 
Polisi wanambembeleza kazi kweli, huyo dereva si ndio wale wanyonge. Laki tano Kila rahisi rahisi hivi? Madaraka ya kulevya.
 
Muajiri sio LATRA peke yake na kazi ameshafanya sehemu nyingi tu na bado kujenga na hata kununua magari hajafanya kwa hela za LATRA. LATRA ameingia mwaka jana tu akitokea Huawei, pia ameshafanya kazi sehemu nyingi kwa cv yake tu, amefanya Nabaki Africa, bandari kavu ya Ami, Alistair Logistics na Huawei then ndio akaenda LATRA mwaka jana.

Muajiri sio LATRA tu. Kama CV yako nzuri na una uzoefu na connection huwezi kosa kazi. Manase anavyo vyote hivyo. Hawezi kaa kijiweni muda mrefu hata kama akifukuzwa LATRA. Pia bado kijana tu hajavuka 33 nguvu za kupambana na maisha anazo.
Ubaya unatabia yakujilipiza kisasi,siku ubaya ukihamia upande wako tafadhali uendelee kusherehekea,usishangilie tatizo la mwenzako,manase hapaswi kuachwa hivihivi,hata kama awe na CV ya aina gani hakuna taasisi itakayosujudia CV ya mtu mtovu wa nidhamu wa kiwango kile.
 
Nimemjibu mtu aliyesherehekea manase kufukuzwa kazi na kusema atauza harrier yake apate hela ya kula... kushangilia mtu kufukuzwa kazi sio jambo zuri... kukosea kila mtu anakosea ... sasa kushangilia kufukuzwa kazi kwa mwenzako sio sahihi.. hata Mungu mwenyewe anasamehe tunapomkosea.. sasa why ushangilie manase kufukuzwa kazi?
 
Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.

Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.

Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.

Watumishi wawe wanapimwa akili kabla ya kukabidhiwa majukumu
 
Nimemjibu mtu aliyesherehekea manase kufukuzwa kazi na kusema atauza harrier yake apate hela ya kula... kushangilia mtu kufukuzwa kazi sio jambo zuri... kukosea kila mtu anakosea ... sasa kushangilia kufukuzwa kazi kwa mwenzako sio sahihi.. hata Mungu mwenyewe anasamehe tunapomkosea.. sasa why ushangilie manase kufukuzwa kazi?
Lazima zipo sheria,kanuni,miiko na miongozo inayomtaka manase aenende vp akiwa kazini,na lazima Sheria za kazi yake zinaeleza adhabu ambazo ataadhibiwa mfanya kazi kwa kosa alilotenda.

Kama Sheria kwakosa alilotenda zinaeleza afukuzwe kazi, hakuna namna hapo.Unachopaswa kujua hii awamu inayojinasibisha kwamba ni ya wanyonge watu wameonewa Sana kwa kupigwa faini za mkomoeni jambo ambalo sio sawa.

Alichotendewa huyu dereva na manase anawakilisha uonevu wa watu wengi sana tatizo uonevu mwingi unafanywa gizani.

Wewe unasema manase kufukuzwa kazi sio sawa,mbona huzungumzi chochote juu ya Manase kumpiga dereva faini ya 500000 ambayo inaonekana kabisa dereva amepigwa kwakumkomoa?

Kama manase ndugu yako ama wewe ndio manase basi tambua nyazifa ama cheo hakikuondolei ubinadamu ukawa wewe ni superior zaidi ya wengine,mwembie manase akirudi nyumbani avue nguo zote awe kama alivyozaliwa kisha asogee kwenye kioo kikubwa ajitizame vizuri aone kama anachatofauti na binadamu wengine.
Alichofanya Manase anastahili kuadhibiwa
 
Nimemjibu mtu aliyesherehekea manase kufukuzwa kazi na kusema atauza harrier yake apate hela ya kula... kushangilia mtu kufukuzwa kazi sio jambo zuri... kukosea kila mtu anakosea ... sasa kushangilia kufukuzwa kazi kwa mwenzako sio sahihi.. hata Mungu mwenyewe anasamehe tunapomkosea.. sasa why ushangilie manase kufukuzwa kazi?
Kwa mujibu wa madereva wangu huyu manase ni msumbufu sana na hizo ni tabia zake, hivyo ni bora aende akapambane na IS huko msumbiji kama yeye ni mbabe kweli.
 
Hilo chama hakina mwanasheria? Akamsaidie huyo dereva amshitaki huyo afisa mamlaka kwa kutishiwa panga na waunganishwe hao mapolisi kwa kitendo Chao Cha kumlinda mhalifu badala ya kumkamata!
ni kweli hawana mwanasheria, manake hata tamko lao limesema kosa la afisa ni kutembea na panga lake kwenye gari lake
 
Hilo gari lake ajiandae kuliuza ili kujikimu na ukali wa maisha maana kuna uwezekano mkubwa wa kufukuzwa kazi kwa tukio hilo.

anipe kazi nimdalalie tako La nyani halipigi raundi
 
Kwa kweli Hawa jamaa wa LATRA nadhani kuna haja kubwa ya kutoa maelekezo zaidi kutusaidia watumishi wa barabara. Maana unakamatwa barabarani unaambiwa ulipe faini kuanzia laki mojà kwenda juu,endapou huna hiyo fedha wanachukua gari.

The way wanavyokunyanganya gari haina tofauti na mwizi wa gari,maana fomu wanayokupatia ina jina tu la LATRA haina nembo ya serikali,hawatoi vitambulisho vyao kuonyesha gari yako ipo mikono salama.

Binafsi aina kwa mtindi huu watu wajiandae kuibiwa magari maana style wanayoitumia wezi wakiiga tutaumia.

2. Idara zao za kutoa taarifa ni vyema zikafanya kazi kwa ushirikiani na mwenye gari,ni vyema wakawa na sticker ili unapikamatwa kama upo willing kulipia sticker upewe control namba ulipie hapo hapo.

Binafsi nilijua magari ya chini ya busy tani mfano suzuki carry ambayo haifanyi biashara haikatiwi hicho kibali ghafa unakamatwa unaambiwa faini laki mbili na nusu kama huna unapokonywa gari.

Naiomba serikali iangalie jambo hili na kuliwekea utaratibu mzuri.

Mbona bima na ushuru wa barabara tunalipa bila tatizo iweje jambo hili tushikiane some?
Na kwa sasa hao LATRA walishatunga kanuni za kuwasimamia madereva na vyombo vya moto kwa sheria zao na pia road trafic at iendelee kutumika, sasa hapa ni ugumu mwingine umeenda kuongezewa.

Kwa watu jamii ya Manase ipo siku hao maofisa watakuja kugongwa na malori ikiwa uonevu utaendelea namna hii hili si jambo jema tinashukuru LATRA kumchukulia hatua ila na jeshi la polisi limchukulie na kisha apelekwe mahakamani kawadhalilisha sana madereva wetu na sie wasafirishaji kwa ujumla .
 
Latra ni nani had aombe leseni yeye amekua polisi? ...... kwanza hana mamlaka ya kunikagua leseni

Unajuaje afisa wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini hana police powers za kuomba leseni ?

Anakuwaje na nguvu ya kukuandika faini ya barabarani halafu hana police powers za kuomba leseni, hiyo faini anamwandikia nani, jina la ubavuni Msukule Trans ?
 
Muajiri sio LATRA peke yake na kazi ameshafanya sehemu nyingi tu na bado kujenga na hata kununua magari hajafanya kwa hela za LATRA. LATRA ameingia mwaka jana tu akitokea Huawei, pia ameshafanya kazi sehemu nyingi kwa cv yake tu, amefanya Nabaki Africa, bandari kavu ya Ami, Alistair Logistics na Huawei then ndio akaenda LATRA mwaka jana.

Muajiri sio LATRA tu. Kama CV yako nzuri na una uzoefu na connection huwezi kosa kazi. Manase anavyo vyote hivyo. Hawezi kaa kijiweni muda mrefu hata kama akifukuzwa LATRA. Pia bado kijana tu hajavuka 33 nguvu za kupambana na maisha anazo.
Hata kama ana cv kubwa inabidi abadilike na kutumia busara kila anapotakiwa kufanya maamuzi ya haraka. Vinginevyo kuna siku ataua mtu huko kazini, nyumbani kwake au popote uraiani na kujikuta akiozea jela. Huko huko aliko kuna mkubwa wake mmoja iliripotiwa kuwa alijiua kwa kujishindilia marisasi japo ilidaiwa kuwa alikuwa "akisafisha" bunduki yake na ikafyatuka kwa bahati mbaya na kumuua.
 
Back
Top Bottom