Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni



Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.

Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.

Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.

Hili jamaa ni pumbavu sana yaani linatembea na mapanga ya kutishia watu? Sifa za kijinga hizo!
 
Askari wa trafiki hapo wameonesha busara ya hali ya juu ila huyo jamaa wa LATRA sjui ni ushamba au
panga la nini tena hapo, angempiga nalo si angejitafutia balaa au ndiyo kutaka kujionesha shujaa?

Ova
Busara ikizidi inakuwa udhaifu, mtu anatishia kuua halafu badala ya kumuweka
Chini ya ulinzi eti unamsukuma, what if akarudi tena na sime akamdhuru yule dereva?
 


Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake.

Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa.

Umoja wa Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) wamelaani tukio hilo kwa kuwa kama asingekuwa afisa wa polisi katika tukio lile wanasema yangetokea madhara makubwa.

Tukio hili liwefundisho kwa kuwa na mitaasisi mingi ambayo inafanya kazi zinazofanana,hapo kila mtu anadeal na mtu mmoja ambaye ni dereva

Trafic vs Latra
TBS vs TFDA
 
Hivi vitu ndiyo unakutana na mtu ambaye ameshapiga cha Arusha, na kiunoni ana mguu wa kuku anakufumua ubongo na hicho kisime chako. Mwenzio ataishia kifungo cha maisha (maana kusaini kifo nayo mtihani) wewe umeshatangulizwa motoni huko.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Hahahah kuna watu wanapenda ubabe wa kijinga. Ukikutana na mtu hapendi kuonewa ndio hali huwa hivi. Halafu hapo ni kwa vile askari wapo ila angekuwa hana mpambe wa kugombelezea angetolewa upepo huyo na makelele yake mengi.

Anakula ngumi nyingi za pua na shingo analegea kama cheni.
 
Askari wa trafiki hapo wameonesha busara ya hali ya juu ila huyo jamaa wa LATRA sjui ni ushamba au
panga la nini tena hapo, angempiga nalo si angejitafutia balaa au ndiyo kutaka kujionesha shujaa?

Ova
Watu wa hivyo hawanaga pumzi. Ukimkazia mapafu dakika 10 nyingi anakuwa katepeta vibaya mno.
 
Kweli kabisa Mkuu..ni tabia ya vijana wengi sana wa namna yake.
Kiburi chake ni mfano wa wengi kama huyo.
Mwezi wa saba mwaka huu kuna kisa flani cha mtumishi kama yeye.

Walisababisha ajali mbaya sana kwa kugonga watu watatu tena kati ya hao mmoja wao alikuwa mtumishi pia.

Wakaenda kuwabwaga Hospitali sasa katika kufuatilia fuatilia jamaa walikuwa wakorofi sana.

Tulifanikiwa kuondoka na mmoja wao,mbele ya askari Mtumishi yule alifanya tukio la ajabu sana.
Alichokutana nacho sidhani kama atasahau maisha yake yote.Tunawashukuru askari pia walimwajibisha baada ya kuona uwajibikaji wetu mbele yao 😀 😀 😀

Ashauriwe kuna muda atakutana na mikono sahihi kabisa inayomhusu.
Hahahahaha alifanya ujinga kwenu mkafanya upumbavu kwake 😂😂😂😂😂 safi sana. Kazi nzuri
 
Tofautisha utata na upumbavu,huyu manase ni mpumbavu.
Ni basi tu imekuwa bahati hili limefika mitandaoni lakini kuna mengi sana ya hovyo kwenye taasisi nyingi sana zenye mamlaka yakupigisha watu faini,yanayoendelea mamlaka kama TRA yanatisha,watu wanaonewa sana.
Mshenzi huyo jamaa. Mie nisingemuacha maana watu kama hawa wapenda sifa dawa yao ni mkong'oto jazz band! Unamtia kisago na kumuacha kavunjika viungo anagala gala chini...Mengine tutamalizana mahakamani.
 
Ubaya unatabia yakujilipiza kisasi,siku ubaya ukihamia upande wako tafadhali uendelee kusherehekea,usishangilie tatizo la mwenzako,manase hapaswi kuachwa hivihivi,hata kama awe na CV ya aina gani hakuna taasisi itakayosujudia CV ya mtu mtovu wa nidhamu wa kiwango kile.
Ame act kama mtu ambaye hana darasa hata moja. Haifai wala kupendeza.
 
Heko kwa mtu aliyerecord maana tusingejua huo udhalimu uliotendeka hapo.
 
Mwisho wake hautakuwa mzuri...Utata wa kisenge huo! Hana nidhamu ya kazi...Analeta ubabe wa kishamba af anakimbilia panga la nini?
Fala sana aisee,joga kwelikweli .
Mwili wote huo linakimbilia panga hapo kadereva hakajaanza nzegembe,na kuna polisi,angekua peke yake na dereva tu si angefanyaje anaweza kushusha suruali mwenyewe huyu akabinjuka
 
Fala sana aisee,joga kwelikweli .
Mwili wote huo linakimbilia panga hapo kadereva hakajaanza nzegembe,na kuna polisi,angekua peke yake na dereva tu si angefanyaje anaweza kushusha suruali mwenyewe huyu akabinjuka
Huyo alitakiwa ashushiwe mvua ya NAKO yani unamvujisha fasta fasta.

Dereva katumia busara kumpa ushindi ila fala akawa anamvimbia na makele mingi mixa anakimbilia kuchukua panga.

Yani mtu anakwambia nakuheshimu braza...sihitaji kukufahamu wala! Jamaa kakimbilia panga. Mpuuzi kweli yani nimemtamani huyu fala kikuma man. Yani ningemchanganyia mfuweni asingeamini.
 
Kaona kuna polis watagombelezea akianziwa mfueni ndo mana anavimba kima kweli aisee.
 
HITIMISHO
- Mtumishi wa umma akipigana na mteja ujue anafanya kazi kwa mazoea,ushamba unamsumbua,mpenda sifa na ulevi wa madaraka. ( Ligoma , ilu , ndugaseli , Ghazwat ,1000 digits)
-Mtumishi wa umma akianzisha fujo apigwe mpaka achakae. ( Ushimen )
  • Kujenga jina unatumia miaka lakini kuliharibu inachukua sekunde. ( Zabron Hamis )
  • Mteja akiwa mjuwaji mtoa huduma ampe kipondo ( USSR )
  • Manase = FRESHMAN( afisatabibu , Sumu )

USHAURI
-Mteja ukipigwa au kutishiwa na Mtumishi wa umma mfungulie mashtaka mhusika ( MCHEZA KAMARI )
-Wamiliki wa malori waanzishe chama ( Karne )
-Magu akemee manyanyaso wanayofanyiwa raia na wateule wake ( pota )
-Usiingilie majukumu ambayo sii yako ( mrangi , mjinga Mimi , Peter Maduka )
-Ukifukuzwa kazi kwa kosa la uvunjifu amani unajipunguzia sifa ya kupata ajira mpya ( Kawoli , gimmy's )
-LATRA watoe mafunzo kwa watumishi wao, watoe ushirikiano kwa wateja wao na wawe na vitambulisho wakati wa kazi ( uchumi 2018 )
-Manase abadilike na aanze kutumia busara ( Nyaka-One )
-Serikali ijenge rehabilitation center kwaajili wa kuwaweka sawa raia walio fukuzwa kazi wasije kujiua au kudhuru wengine kwa sababu ya stress.
-Usimunyanyase mtu kwa sababu ya ajira yako ( FRANCIS DA DON ).
 
Afisa wa LATRA ni mla rushwa mkubwa, hiyo gari bei yake ni mil 35 (Harrier), kwa mshahara wake sidhani kama anaweza nunua, wachunguzi waanzie kwenye akaunti yake etc. Ni bora afukuzwe kazi mara moja liwe fundisho. Pia kuna traffic wa hivyo, unakuta anaibuka tu kusema umemdharau ilihali unaonesha kumheshimu
 
Back
Top Bottom