Kwa kweli Hawa jamaa wa LATRA nadhani kuna haja kubwa ya kutoa maelekezo zaidi kutusaidia watumishi wa barabara. Maana unakamatwa barabarani unaambiwa ulipe faini kuanzia laki mojà kwenda juu,endapou huna hiyo fedha wanachukua gari.
The way wanavyokunyanganya gari haina tofauti na mwizi wa gari,maana fomu wanayokupatia ina jina tu la LATRA haina nembo ya serikali,hawatoi vitambulisho vyao kuonyesha gari yako ipo mikono salama.
Binafsi aina kwa mtindi huu watu wajiandae kuibiwa magari maana style wanayoitumia wezi wakiiga tutaumia.
2. Idara zao za kutoa taarifa ni vyema zikafanya kazi kwa ushirikiani na mwenye gari,ni vyema wakawa na sticker ili unapikamatwa kama upo willing kulipia sticker upewe control namba ulipie hapo hapo.
Binafsi nilijua magari ya chini ya busy tani mfano suzuki carry ambayo haifanyi biashara haikatiwi hicho kibali ghafa unakamatwa unaambiwa faini laki mbili na nusu kama huna unapokonywa gari.
Naiomba serikali iangalie jambo hili na kuliwekea utaratibu mzuri.
Mbona bima na ushuru wa barabara tunalipa bila tatizo iweje jambo hili tushikiane some?