Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni


Gari amenunua kabla hajaajiriwa latra.. hana hata miaka miwili latra.. ameshafanya kazi kampuni binafsi kubwa nyingi.. amefanya huawei kama logistics manager, bandari kavu ami amefanya, amefanya kazi za mshahara milion 4.. why asijenge au kununua magari?

Watu wanaenda serikalini kupumzika baada ta kuchoka presha za sekta binafsi..ila hela wameshavuna sana sekta binafsi.. manase miaka zaidi ya 8 amefanya private sector..

Ameshashika cheo cha logistics manager nabaki africa, huawei,Alistair.. sasa hela zote huko ashindwe kujenga au kununua magari

Tena ukiona nyumba yake kimara ndipo utasema afungwe kabisa kwa ufisadi
 
Nasikia wamekusimamisha kazi mkuu, pole sana jifunze kuheshimu watu na siku nyingine uwe na nidhamu pumbavu kabisa
 
Nasikia wamekusimamisha kazi mkuu, pole sana jifunze kuheshimu watu na siku nyingine uwe na nidhamu pumbavu kabisa

Sawa wamenisimamisha...ili hiyo kazi upewe wewe.. na wewe ununue tako la nyani... sio harrier tu na raum ipo, na daladala ipo.. ikiwezekana upewe wewe mali zake zote ufurahi
 
Anastahili kuwa jela kwa kutishia maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu Manase analeta ubabe kazini.Ana matumizi mabaya ya ofisi.Pia anaweza kutoa uhai akibaki kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi na limbukeni tena bonge la mshamba hana exposure hata hapo alipo haamini km ni yeye,fala sana.
Alafu linaropoka tu mwandikie laki 5.faini ya kosa gani road laki 5?
Mwambie huyo bahsha wako mbwiga tu.
 
Jamaa boya kweli kweli kashindwa kuzuia hasira zake, sijui hiyo kazi alipataje na uboya huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…