Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

Hivi kuwa mbongo maana yake hutakiwi kuulizia ushahidi wa habari yoyote inayotelewa,
unatakiwa uamini tu ni kweli na uiendeleze.....
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Hao policcm hawajui kuwa ukikutwa na hizo nyumbani kwako unaweza kuchomwa??

Kuna watu walichomewa nyumba kisa zimebandikwa bango
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…