Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

Hapo maadui zake mf Dullvani watakuwa wamefurahi.
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Huko si ndio " ukikimbia nchale na ukisimama nchale " 🤣🤣
 
Reactions: EEX
Kwani lazima kuzirudisha si wangekaa nazo tu ndani au kwenda kuzitupa huko hata porini
Ukizitupa sisi jirani zako tunajua bado uko nayo ,jiandae kupambana na shida zako .

Hii inaonyesha kuwa kitaa watu washaanza kuendeana bampha to bampha .

CCM kwa CCM na wapigania haki kwa wapigania haki
 
Wapige rangi nyingine wazitumie hazina shida ,
Shida siyo hiyo , yaaninuspozirudisha tena hadharani jamii inakuhesabu kama moja ya adui yao mkuu so kwa maisha haya tunayoishi kwa kutegemeana unadhani ni rahisi kukabiliana na hayo mazingira?

Yaani ukibaki na bidhaa yoyote ya CCM unagesabika kama uko na jini ndani 🤣🤣 dah! Ila life linaenda speed sana wazee 🤣
 
Ni kichekesho sana page ya policcm ikulu mawasiliano , Samia , Abdul kule X zimefunga comments

TRA wao wameenda mbali kabisa page iko private mode mpaka uwe approved ndio uone posts zao.
CCM wanapitia nyakati ngumu sana
 
Sasa watajuaje kama zimekataliwa, lazima ifanyike namna ya kuonesha kuwa hawazitaki, na maisha yao yaliendelea bila kuwepo hizo pikipiki
Shida zina mikataba migumu
 
Wazee wa Luhangwa🤣🤣🤣 ...bado hawajasema!!
 
Ni wanaccm sio wananchi,wananchi waliuliwa hovyo tarehe 29.
 
Wanakijiji cha Nangano, Liwale Lindi wamekamatwa na kupelekwa kituo cha polisi kwa kurudisha pikipiki za SSH 2025

Kurudisha kumbe ni kosa.
 
Wanakijiji cha Nangano, Liwale Lindi wamekamatwa na kupelekwa kituo cha polisi kwa kurudisha pikipiki za SSH 2025

Kurudisha kumbe ni kosa.
Hahaha police force lifumuliwe, ni kituko hiki
 
Kama chama cha magaidi wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…