Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wao wakati wanaiba kura waliuaaaaIsifike mahali wakaanza kuwaua maana uhai wa mtu hautafutwi sehemu yoyote.
Duhhhh.....
Haya sasa, tulisema ulikua wa uwazi na haki na haya ndio matokeo yake tunavuna tulicho kipanda.
Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Broken hearts and souls in action?Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Ni chama kilicholowa damu za watzCCM mnawaza kuua tu.
Juhudi Zifanyike Haraka Sana
Vinginevyo Mambo Haya Yataenea
Haikubaliki Hii
Nani Huyo?
Haya Yanatufanya Tukose Utu
What a name??!!Ni watu wanaoneshana makali amaa??
Kura zilipigwa huku majibu yakiwa tayariSi ndio mapambano ya Lissu aliyo yasema haya. Kesha shindwa hana lolote huyu zaidi ya kitishia nyau.
Vumilieni ndo demokrasia hio kulia kwa zamu.Atakaye kamatwa kujihusisha na upumbavu huu adhabu yake iwe ni kaburini Tu
Kwa kuwa wewe ni mahakama?Atakaye kamatwa kujihusisha na upumbavu huu adhabu yake iwe ni kaburini Tu
Ni ushenzi huo endapo mnajua mlidhulumiwa,kuibiwa,ama vyovyote vile kwann msiende kwenye vyombo vya SheriaKwa kuwa wewe ni mahakama?
Just calm down, mlichopanda ndicho mtakachovuna !!
Tutafika Tu magaidi nyieVumilieni ndo demokrasia hio kulia kwa zamu.
Just wait for consequences, kama uwezo mnao na intelligence iko vizuri pambaneni.Ni ushenzi huo endapo mnajua mlidhulumiwa,kuibiwa,ama vyovyote vile kwann msiende kwenye vyombo vya Sheria