Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Duhhhh.....
Haya sasa, tulisema ulikua wa uwazi na haki na haya ndio matokeo yake tunavuna tulicho kipanda.

Asikudanganye mtu; hii ni kazi ya wanasiasa wasiokubali kushindwa uchaguzi. Supporters of political candidates who graciously concede an election aren’t likely to engage in this kind of destructive activities!
 
Tunaelekea wapi??[emoji83][emoji2297]
 
Hii ndio dawa, na hapo hatujashirikiana na jamaa wa Somalia na wale jamaa walioko Kitaya.

Mliiba kura na kuhujumu Uchaguzi sasa nanyi pokeeni hujuma hizo.
Juhudi Zifanyike Haraka Sana
Vinginevyo Mambo Haya Yataenea
Haikubaliki Hii
 
Atakaye kamatwa kujihusisha na upumbavu huu adhabu yake iwe ni kaburini Tu
 
Back
Top Bottom