Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 709
- 478
Stay Calm!!!!Just wait for consequences, kama uwezo mnao na intelligence iko vizuri pambaneni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stay Calm!!!!Just wait for consequences, kama uwezo mnao na intelligence iko vizuri pambaneni.
Wakati wenzenu wanalia si mliona hayawahusu,Tutafika Tu magaidi nyie
Mnapowatuma kupora haki mkumbuke mnazalisha magaidi.Tutafika Tu magaidi nyie
Hatari kweliDuhhhh.....
Haya sasa, tulisema ulikua wa uwazi na haki na haya ndio matokeo yake tunavuna tulicho kipanda.
Tanzania kuna vyombo vya kuoshea sahani na bakuli nk,Tz hakuna vyombo vya SheriaNi ushenzi huo endapo mnajua mtalidhulumiwa,kuibiwa,ama vyovyote vile kwann msiende kwenye vyombo vya Sheria
Kuna watu walidhihaki kuhusu maandamano ya amani watu wakatishiwa kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ...Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Huko mbona hata wewe utaenda tuAtakaye kamatwa kujihusisha na upumbavu huu adhabu yake iwe ni kaburini Tu
Wakianza kudakwa Kama wale wa mkuranga,kisiju na Rufiji usije kubweka hapa ngoja wataalamu waingie kazinisafi sana choma kila kitu..mbwa hao
Nitaenda Kwa amri ya MunguHuko mbona hata wewe utaenda tu
Basi pelekeni huko Kwa mabeberuTanzania kuna vyombo vya kuoshea sahani na bakuli nk,Tz hakuna vyombo vya Sheria
Vyombo vilivyo chini ya maccm vitende haki!
Utakua huna akili ww au unakula kwa babaSafi Sana, no, samahani
Kabla ya mwisho wa mwaka huu utakuwa hukoNitaenda Kwa amri ya Mungu