Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Lindi: Watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Msimamizi wa Uchaguzi na nyumba ya Mbunge

Ccm uwatelekeza baada ya kuwatumia kwenye wizi. Thamani ya mapolisi, wasanii, wakurugenzi, nk uonekana wakati wa uchaguzi. Wakishapata wakitakacho awakumbuki
 
Ni ushenzi huo endapo mnajua mtalidhulumiwa,kuibiwa,ama vyovyote vile kwann msiende kwenye vyombo vya Sheria
Tanzania kuna vyombo vya kuoshea sahani na bakuli nk,Tz hakuna vyombo vya Sheria

Vyombo vilivyo chini ya maccm vitende haki!
 
Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Kuna watu walidhihaki kuhusu maandamano ya amani watu wakatishiwa kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ...

Ni kweli watanzania waoga ila siku zote ogopa vita ya muoga na asie kua nanguvu ...

Watanzania sasa tumefikia huku, kumbuka hapa bado hatijaanza kuonja joto la kibano cha Mabeberu wa Magharibi

Soon watu wataanza kuchomana moto barabarani ...

Langu jicho na upande wa sikio
 
Hao Ni.magaidi wale walioko Msumbiji kwa Sasa wanashirikiana na magaidi was ndani kutumia uchaguzi Kama kichaka JWTZ ingieni kazini Yale mliyofanya Kibiti, mkuranga na Rufiji kayafanyeni Lindi na Mtwara
 
MaCCM mpo chini ya elfu moja lakini mmepata kura zaidi ya elfu nne.
Ndio maana mnapigwa moto.,
Hamna tofauti na VIBAKA.
 
Hakuna kulala mpaka mtakapolipa gharama za kura mulizoiba ndipo kitaeleweka kwani hakuna wizi usiyokuwa na gharama hata kibaka akikosa kutumikia jela anakutana na gharama ya kuchomwa moto.
 
Back
Top Bottom