Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

CCM uoga wa nini kukaa na kukamata wapinzani. Kama mnaji amini kwamba mnakubalika si msubiri mpambano 2020.

Mnakaa kutuumizia ndugu na marafiki zetu kwa kuwatesa na kuwapiga. Tumechoka kupeleka chakula vituo vya polisi kila kukicha kwa ndugu zetu wasio na hatia wala wasiojua hatma zao.

#FairPlay2020
 
Tuwe Wapole Vyombo Vifanye Kazi Wataachiwa Iwapo Hakuna Nongwa
 
Lazima tulinde amani ya nchi yetu kwa nguvu zote, haiwezekani jeshi la polisi liruhusu mambo ya kihuni
Wewe huwa unaomba kibali chumbani mwako???--- ule ulikuwa mkutano wa ndani (ni sawa na chumbani mwako).
 
Back
Top Bottom