Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter, Kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe na Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) wamekamatwa

Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zinaendelea

Aidha, kimebainisha kuwa kitatoa taarifa zaidi baadaye kwani sasa Viongozi wa chama hicho mkoni humo pamoja na Wanachama wanaelekea Kituoni

Ile hukumu ya uchochezi sasa ndio inaenda kufanya kazi.
 
Huu upumbavu umezidi sasa, kama wanataka nchi ya chama kimoja si wafute mfumo wa vyama vingi.
Sijutii kutoipenda CCM toka napaka akili timamu asante Mungu
Mungu akubariki wew na wanao kuzunguka
 
Huu upumbavu umezidi sasa, kama wanataka nchi ya chama kimoja si wafute mfumo wa vyama vingi.
Sijutii kutoipenda CCM toka napaka akili timamu asante Mungu
Mungu akubariki wew na wanaokuzunguka.
 
Back
Top Bottom