Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Kufanya mkutano bila kibali
Akamatwe kwa kuvunja sheria ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akamatwe kwa kuvunja sheria ipi?
unaelewa tofauti kati ya mkutano na kikao cha ndani?Kufanya mkutano bila kibali
unaelewa tofauti kati ya mkutano na kikao cha ndani?
Unajua kusoma?Wapi nimekuuliza mambo ya kibali?Mimi nimekuuliza kuwa unaelewa tofauti kati ya mkutano na kikao cha ndani?Kwa nini unajibu maswali ambayo hujaulizwa?!Wewe ni kichwa maji?Inatakiwa waombe kibali
Unajua kusoma?Wapi nimekuuliza mambo ya kibali?Mimi nimekuuliza kuwa unaelewa tofauti kati ya mkutano na kikao cha ndani?Kwa nini unajibu maswali ambayo hujaulizwa?!Wewe ni kichwa maji?
Yaani unajibu swali ambalo sijakuuliza halafu unadai kuwa umenirahisishia majibu?!Nikikuita mbumbumbu utanilaumu?CCM wanaelewa kuwa wametuma mbumbumbu kufanya propaganda dhaifu kwenye mitandao?Nimekurahishia jibu tu usinipe kazi ya kujibu maswali ya kipuuzi
Huyo zitto kutwa kujipendekeza kwa mabalozi kuichafua Nchi yetu
Akamatwe akae huko ajifunze
Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya.
View attachment 1486776
---
Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter, Kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe na Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) wamekamatwa
Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zinaendelea
Aidha, kimebainisha kuwa kitatoa taarifa zaidi baadaye kwani sasa Viongozi wa chama hicho mkoni humo pamoja na Wanachama wanaelekea Kituoni
Hajafa kwa corona kweli manake alikuwa anashabikia sana takwimu za corona kufichwa.Hivi Bia yetu ameenda wapi?
Hivi ni nini maana ya vyama vingi?Hao wahuni kina zito wakamatwe tu hatutaki siasa chafu
Hivi ni nini maana ya vyama vingi?
Hana historia ya kushinda chochote maishani,bila kubebwaDemokrasia imegeuka kuwa Demo-ghasia. IGP anafanyia kazi maagizo na biti aliopewa jana.
Viongozi waliopewa vyeo wajiangalie sana kukandamiza watu hovyo. Raia watachukua sheria mkononi na kuwapiga "MAKOMBORA YA KIENYEJI" na kuwachomoa akili.
CCM hawana jipya wala mbinu za kupambana na wapinzani, zaidi ya kuwakamata na kuwapa kesi za jinai. Hawana uhuru wa kujieleza wala demokrasia ndani ya chama chao. Kuna "VIDUDU-MTU" ndani ya chama vinaongea upuuzi mtupu kulinda matumbo yao. Mwisho wao umefika 2020.
CCM mgombea urais ni mmoja, wengine ni amri kufunga midomo na kutochukua form za kushindana na mwenye kiti. Upinzani ni kukamatwa, kuvunjwa mikono, kupewa kesi za jinai, kuteswa na kutukanwa.