Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Lindi: Zitto Kabwe na Sulemani Bungara (Bwege) wakamatwa na Polisi

Wamwachie mara moja bila masharti yeyote.
Vikao vya ndani vya chama mnamkamata mtu?
Hivi hawa polisi wetu na wale wa wakoloni tofauti yao ni nini? Yaani inauma sana kuona jamii ikisukumwa kutafuta uhuru na kujikomboa mikononi mwa wakoloni weusi karne ya 21.
 
Libya iliyokombolewa kutoka kwa Ghadafi sahivi ipo wapi?
Bado inapitia mchakato wa kusimama .

Sasa kipi bora, kuendelea kupigana na kua huru.

Kuendelea kujitia ujinga na kua mtumwa ndani ya nchi yako??

Tatizo ni Viongozi wa Afrika, tunao viongozi wa ovyo ovyo sana .
 
Ni hasira tu mkuu maana wajinga hawaishi katika ulimwengu na ndio mtaji wa SISIEMU.
Haya mambo yakupigana kisa uchaguzi na mavyama wenzetu wakenya washavuka naona sisi ndo kama tunaelekea huko.Unampigania mwanasiasa yeye anamaliza kuhojiwa anatoka wewe ushapambana na polisi ushaumizwa na huyo unayempigania hatakupa hata mia ya matibabu! Zaidi mtu anajizidishia umasikini tu!
 
Sawa ila nakwambia ipo siku atatokea kichaa atawafanyia mbaya sana hao Policcm na ndio itakuja kuwa fundisho kuvamia mikutano hovyo hovyo!!! Sio kwamba wanampigania mwanasiasa wanareact kwasababu hao wapoliccm wanavamia wanavuruga mkutano wao,hao walioreact ni part ya uongozi wa ACT na ni moja ya kazi zao hizo wanazojadili kwenye huo mkutano ,kitendo cha policcm kuvuruga taratibu za kazi zao na kureact sio kwamba ndio wanampigania zitto na bwege,wanapigania haki yao kunajisiwa.
 
Bado inapitia mchakato wa kusimama .

Sasa kipi bora, kuendelea kupigana na kua huru.

Kuendelea kujitia ujinga na kua mtumwa ndani ya nchi yako??

Tatizo ni Viongozi wa Afrika, tunao viongozi wa ovyo ovyo sana .
Itakuwa huifahamu Libya ya sahivi wewe. Hata dalili za kuinuka hazipo.Ndo kwanza majeshi ya Egypt, Turkey, na ya nchi nyingine yametia kambi kulinda maslahi yao.Ile Libya iliyomuumiza kichwa U.S haitarudi.Uchumi graph imeshuka kwa kasi ya ajabu.Hayo ndo matokeo ya Violence. Kama upo tayari na sisi tufike huko sawa.
Ila elewa hakuna mwanasiasa atakutoa wewe kwenye lindi la umasikini!
 
Sawa ila nakwambia ipo siku atatokea kichaa atawafanyia mbaya sana hao Policcm na ndio itakuja kuwa fundisho kuvamia mikutano hovyo hovyo!!! Sio kwamba wanampigania mwanasiasa wanareact kwasababu hao wapoliccm wanavamia wanavuruga mkutano wao,hao walioreact ni part ya uongozi wa ACT na ni moja ya kazi zao hizo wanazojadili kwenye huo mkutano ,kitendo cha policcm kuvuruga taratibu za kazi zao na kureact sio kwamba ndio wanampigania zitto na bwege,wanapigania haki yao kunajisiwa.
Kama hawakuwa na kosa lolote basi hapo wameonewa
 
CCM wakiona hata wapinzani wakifanya kikao haja kubwa inaanza kuwagonga chu..pi
 
Huyo zitto kutwa kujipendekeza kwa mabalozi kuichafua Nchi yetu

Akamatwe akae huko ajifunze
Umenikimbusha wafuasi wa makaburu walivyokua wakishangilia waafrika wenzao wanavyo nyanyaswa hovyo huko Afrika kabla ya Uhuru lakini ata baada ya Uhuru mambo niyale yale.
 
CCM CCM CCM , nimewaita mara tatu.

POLIS POLISI POLISI , nmewaita mara tatu.

Embu fanyeni kuwaza, kama hao polisi wenu chini ya 10 , Wananchi hawa wangeamua kuwashugulikia , kuna mtu angetoka???.

Nayann kuleta migogoro isokua na maana???

CCM wafanye wanavyotaka, Upinzani wakandamizwe, ivi nan mwenye hati miliki ya Nchi hii,?????

Alafu linakuja lipuuzi limoja, linasema Rais Kafanya mengi, masuala ya katiba na tume huru hayana maana na hayahitajiki????

Mjue ,Siku moja Sauti za hawa mnawaonea Zitainuka..

Ghadafi, alijiaminisha kua Jeshi kalishika, Polisi na vyombo vyake vya Dola amevishika,,,,..... ni nani asojua Ghafafi aliondoshwa na Kabila dogo lilodharauliwa nchini humo?????.

WITO ....

Wananchi ,wafuasi wa upinzani, mpaka lini viongozi wenu watapigwa Risasi??? Mpaka lini watatishiwa kuuwawa ndani ya nchi yao?? Mpaka lini mtakubali viongozi wenu wapondwe ,waumizwe..? Nikwamba mmeshindwa kabisa kuwasimamia......???

Polisi kama hawa wapuuzi walipaswa kupewa kipigo cha mbwa mwitu mpaka alowatuma salamu zimfikie kua TUMECHOKA... Acheni kuwalea lea hawa wapuuzi.
Hao polisi wanatumwa tu mkuu, tatizo ni wanaowatuma.
 
June 21, 2020
Mkuranga, Pwani

UVCCM MKURANGA, WAMPITISHA JOSEPH POMBE MAGUFULI BILA KUPINGWA/ MHE. ULEGA "MIRADI MIKUBWA IMEKAMILIKA"

source : ikema tv
 
2015 NEC ilitangaza Pombe imeshinda na 2020 wananchi wenye nchi yetu tunamwaga Pombe.

Mwaga Pombe ya NEC chagua Raisi wa wananchi.
 
Hivi tangu lini gari za Polisi zikawa na tinted,wanaficha nini hasa
FB_IMG_15929326053534774.jpg
 
Mbona mapema sana kuanza hayo mambo? Hama kweli kuna watu wanaogopa upinzani kuliko maelezo.
 
Wazuie hata vikao vya harusi na sendoff pamoja na misafara yake. Ni kwamba hakuna uhuru wa kukusanyika lakini tunaona wengine wakifanya yao kila siku pasipo vibari wala kuzuiwa.
 
Back
Top Bottom