Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Akirudi watamuuaTundu Lissu hawezi kurudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi watamuuaTundu Lissu hawezi kurudi
Wamemchafua nani kwani?Hao wahuni kina zito wakamatwe tu hatutaki siasa chafu
Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter, Kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe na Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) wamekamatwa
Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zinaendelea
Aidha, kimebainisha kuwa kitatoa taarifa zaidi baadaye kwani sasa Viongozi wa chama hicho mkoni humo pamoja na Wanachama wanaelekea Kituoni
Wamemchafua nani kwani?
Kwa kufanya mkutano wa ndani ?Wanavunja sheria
Nchi yetu ipi imechafuliwa? au ni Nchi yako mwenyewe? Zito kusema ukweli ni kuichafua Nchi?Huyo zitto kutwa kujipendekeza kwa mabalozi kuichafua Nchi yetu
Akamatwe akae huko ajifunze
Kama maendeleo hayana chama kwanini unauliza? Ach unafiki BuasheeMbona Jiwe na CCM yake washaanza Kampeni na hawakamatwi?
Upuuzi ni CCM kufanya mikutano mikusanyiko isiyo na uvaaji barakoa kabla ya mda wa kampeniAcha kufananisha Ccm na hao wapuuzi
Ccm ni chama kinachotumikia Watanzania
Polisi wa Wilaya ya Kilwa Mkoa wa Lindi wamemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya.
View attachment 1486776
---
Kwa mujibu wa Chama cha ACT Wazalendo kupitia mtandao wa Twitter, Kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe na Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Sulemani Bungara (Bwege) wamekamatwa
Chama hicho kimeeleza kuwa Polisi wamewasili kwenye mkutano wao wa ndani Wilayani Kilwa ambapo shughuli za kuwapokea Madiwani 8 wa CUF zilikuwa zinaendelea
Aidha, kimebainisha kuwa kitatoa taarifa zaidi baadaye kwani sasa Viongozi wa chama hicho mkoni humo pamoja na Wanachama wanaelekea Kituoni
Upuuzi ni CCM kufanya mikutano mikusanyiko isiyo na uvaaji barakoa kabla ya mda wa kampeni
Zanzibar kuna demokrasia ndiyo maana wagombea ni wengi lakini Tanganyika mgombea ni mmoja tu ingawa wapo wengi wanautaka huo UraisHii ndio CCM yenye mgombea anaependwa!!
Kwa utumbo huu, hustahili kupata buku 7.Huyo zitto kutwa kujipendekeza kwa mabalozi kuichafua Nchi yetu
Akamatwe akae huko ajifunze
Bwashee umekunywa mbege iliyolala?[emoji23]Nilidhani Tundu Lisu!
Maendeleo hayana vyama
Alinukuu kama iilivyotumwa kwenye TwitterAliandika kiongozi wetu, baada ya kuuliza kuwa mwanachama wa ACT, ame edit na kuondoa wetu. Hakiki kupitia msg # 3.
Ndio hilo hilo njemba hapo juu linachenji codes tuHivi Bia yetu ameenda wapi?