wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wametumia chombo gani kumuona maana nasikia kila wakimtaka kwa ubaya wanaambulia kuona maji au kichaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametumia chombo gani kumuona maana nasikia kila wakimtaka kwa ubaya wanaambulia kuona maji au kichaka
Mbona wewe ni kibabu kabisa?Nikiwa mkubwa sitaki kuwa polisi!View attachment 1486952
And moneyWastage of time
Beberu jeusi!Mbona wewe ni kibabu kabisa?
Wareact halafu wakiumia nani agharamie matibabu?Inakuwaje watu wote humo Mnaogopa hao WAPUUZI watatu? Nimeona atleast Jamaa wawili wame react baada huyo mwenye madoa doa kumshika Zitto.
Kuna taratibu za kumkamata mtu unamueleza kosa lake kisha taratibu nyingine zinafuata kuanza kumshikashika na kumvuta mtu sio ustaarabu siku nyingine atakutana na mtu aliyekata tamaa maisha anaweza akamuwasha BOMBA wapotee wote!!Wareact halafu wakiumia nani agharamie matibabu?
Sawa.Ila mtu kujitia uchizi kisa mwanasiasa nao ni ujinga pia.Kuna taratibu za kumkamata mtu unamueleza kosa lake kisha taratibu nyingine zinafuata kuanza kumshikashika na kumvuta mtu sio ustaarabu siku nyingine atakutana na mtu aliyekata tamaa maisha anaweza akamuwasha BOMBA wapotee wote!!
Ni hasira tu mkuu maana wajinga hawaishi katika ulimwengu na ndio mtaji wa SISIEMU.Sawa.Ila mtu kujitia uchizi kisa mwanasiasa nao ni ujinga pia.
Libya iliyokombolewa kutoka kwa Ghadafi sahivi ipo wapi?Ghadafi, alijiaminisha kua Jeshi kalishika, Polisi na vyombo vyake vya Dola amevishika,,,,..... ni nani asojua Ghafafi aliondoshwa na Kabila dogo lilodharauliwa nchini humo?????.