Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Acha kumlinganisha Botswana na kichwa Cha mwendawazimu
 
Jiulize lile huni la mtera Bajaj kwenye delegation ya rais linafanya Nini.
 
Ikulu inahitaji timu bora zaidi ya mawasiliano. Timu ya mawasiliano ikiwa nzuri inauwezo wa kuziba mapungufu mengi sana.

Kwa mfano: Hakukuwa na haja ya kuweka orodha ya CCM kwenye hii taarifa. CCM wangetoa taarifa yao ya watu wao watakaoenda. Ikulu wangeweza kuongeza taarifa inayoonyesha umuhimu wa mahusiano ya Tanzania na Zambia kiuchumi na kitamaduni. Wangeongezea hata vikao vitakavyofanyika katika ziara hiyo katika kuleta tija kwa wananchi wa nchi hizo mbili...

Dah! Missed opportunities nyingi sana.
 
Wakuu
Hivi mnaona barua ya ikulu ya Botswana yaani fupi na unasoma hauchoki, iko nchi pembezoni huko ukisikia taarifa ya ikulu ujiandae kusoma hadi uchoke mwenyewe riwaya sio riwaya mashairi sio mashairi yaani mibarua mirefu utahisi ni tenzi za rohoni hapana wajifunze botswana check mpangilio kwanza wa maaandishi yao, anuani ilivokaa, bibi na bwana ikiwa juu pale haina maandishi mengine kuchafua nembo yao hao ndio proffessional sasa hadi barua inavutia.



Angalieni wenyewe mpangilio mujionee kwa macho yenu.
 
°Rais mstaafu
°Waziri mkuu mstaafu
°Mbunge wa bunge la JMT
°Viongozi wakuu wa chama tawala.

Huu ni uwakilishi mzito sana.
°Kwa sasa nchi yetu ni kama ipo kwenye mfumo wa chama kimoja hivyo hakuna kiongozi wa upinzani mwenye sifa ya kuambatana na Rais na huo ndio ukweli.
 
Weka na picha ya familia yako ja familia ya jirani.

Ila mibongo mna PhD za malalamiko aiseeeee.

Mnalalamika kuliko shoga aliyekataliwa. Duuuh.

Mnalalamikia kila kitu
 
Sasa Kama waandishi wenyewe ndio wale waliofundishwa na Prof wa jalalani inategemea nini
 
Ila brother hujatenda haki. Barua ya Ikulu Tanzania iko sawasawa na ya Botswana. Ukubwa wa barua umechangiwa na wahudhuriaji wengi lakini wasilisho limekaa vizuri.

Labda kama ulitaka barua kutoka kurugenzi ikulu iseme lini wanarudi nyumbani.
 

Rais ameshindwa kujielewa kuwa yeye ni Rais wa nchi, kwa barua hiyo ni wazi kuwa anajiona kama katibu mkuu wa CCM...

Shame
 
Ila brother hujatenda haki. Barua ya Ikulu Tanzania iko sawasawa na ya Botswana. Ukubwa wa barua umechangiwa na wahudhuriaji wengi lakini wasilisho limekaa vizuri.

Labda kama ulitaka barua kutoka kurugenzi ikulu iseme lini wanarudi nyumbani.
Rais hajitambui. How to relate with another country strategically. Hivi hata hajui kuwa haendi kwenye kikao cha CCM? Shame on the advisors.
 
Huyu Pinda naona anakuwa na sehemu muhimu katika kulipindisha taifa hili.

Itabidi sasa tuanze kuwataja mmoja mmoja katika hawa watu wnaovuruga taifa hili.

Mizengo Pinda naona kashika sehemu kubwa, na toka sasa ahesabike kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…