Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
1. YANGA ndiyo timu ya kwanza Tanzania kucheza mashindano rasmi ya CAF walicheza klabu bingwa mwaka 1968 wakati simba ndiyo timu ya kwanza kupanda ndege mwaka 1963 walienda Ethiopia kwa mwaliko wa Rais wa nchi hiyo kucheza ndondo.
2. YANGA ndiyo timu ya kwanza kutinga robo fainali ya CAF champions league mwaka 1969 (dhidi ya Asante Kotoko) wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kumiliki basi lake
3. YANGA ndiyo timu pekee afrika mashariki kuingia robo fainali mbili MFULULIZO yaani 1969 na 1970 namaanisha kwa miaka inayofuatana siyo unaingia fainali mwaka huu kisha mwaka ujao unakutana na UD SONGO au MAKIRIKIRI CHALI wakati huo SIMBA ndiyo timu ya kwanza kuvaa ndiyo timu ya kwanza kuvaa jezi hii ilikuwa 1938 ilipocheza na kombaini ya mabaharia wa meli zilizotia nanga kwenye bandari ya Dar es Salaam.
4. Yanga inaongoza kwa kumfunga Simba mara nyingi Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa mara nyingi zaidi (27) kuliko timu yoyote Tanzania bara wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa viatu hii ilikuwa1949 ilipocheza na kombaini ya jeshi la majini Navy ya Afrika Kusini.
5. Yanga ndiyo iliyochukua ubingwa mara nyingi zaidi (27) kuliko timu yoyote Tanzania bara wakati SIMBA inaongoza kwa kuchukua vikombe vya promotion kama HEDEX, MTANI JEMBE, TUSKER na kadhalika
5. Yanga ndiyo inaongoza kwa idadi ya magoli yaliyofungwa kwenye mechi za Simba na Yanga wakati Simba ndiyo timu ya kwanza kuvaa suti hiyo ilikuwa ni mwaka 1974 ilipokwenda Poland
6. Takwimu za Yanga ni kwa mujibu wa shirika la The Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. website yao ni The Introduction Page of the RSSSF -- The Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation.
Wakati takwimu za SIMBA ni kwa mujibu wa jamaa mmoja wa Morgoro aitwae na Dhulkad Madara