Huwa naona ni kituko au hamnazo watu wanamuomba mungu awasaidie dhidi ya madhalimu mfano watekaji wakati na watekaji nao wanamuomba mungu kila siku awasaidie waendelee kudumu mamlakani wakiwa na nguvu tena hao madhalimu wanaombewa hadi na maaskofu na ma-sheikh wakubwa kila siku waendelee kudumu.Watanzañia watu wakupenda miujiza.Ila sawa tu Mungu atatulipia😎
Mungu hasaidii kwa sababu hayupo.Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.
Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.
Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.
View attachment 3485657
We Yoda, Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa na kiongozi yoyote anapokuwa mkuu wa nchi ni anakuwa ni chaguo la Mungu ili kutimiza mapenzi ya Mungu hivyo anakuwa na kibali, asipotimiza mapenzi ya Mungu, kibali chake kinafutwa, anapewa mwingine. Thread 'Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?' Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.
Kwa hiyo Museveni wa Uganda na Paul Biya wa Cameroon wamekuwa wakitimiza mapenzi ya Mungu kwa miaka 40 ndio maana wameendelea kuwa na kibali kwa mungu na hawajafutwa mpaka sasa??We Yoda, Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa na kiongozi yoyote anapokuwa mkuu wa nchi ni anakuwa ni chaguo la Mungu ili kutimiza mapenzi ya Mungu hivyo anakuwa na kibali, asipotimiza mapenzi ya Mungu, kibali chake kinafutwa, anapewa mwingine. Thread 'Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?' Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
P
Not necessarily, Mungu ni ajabu sana, japo ni YEYE Pekee huweka serikali za mataifa, lakini kuna wakati huruhusu shetani kuziingilia na kugeuka tawala za kishetani, sijui kwa nini anaziacha kwa jinsi ile ile sijui kwa nini, anamuacha shetani undelete kufanya maovu badala ya kumteketeza Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetaniKwa hiyo Museveni wa Uganda na Paul Biya wa Cameroon wamekuwa wakitimiza mapenzi ya Mungu kwa miaka 40 ndio maana wameendelea kuwa na kibali kwa mungu na hawajafutwa mpaka sasa??
Huyo mnaedai Mungu hausiki na kuwekwa kwa tawala duniani, ondoa hili akilini, kwanza unatakiwa ujiulize kila taifa lina asili ya imani na dini yake, huyo Mungu unayemuamini wewe si yule anayeaminiwa na jamii zinazoamini ubudha, uhindu, vile vile Mungu wa Ukristo ni tofauti na yule wa uislamu japo inauma ila ndio ukweli.Not necessarily, Mungu ni ajabu sana, japo ni YEYE Pekee huweka serikali za mataifa, lakini kuna wakati huruhusu shetani kuziingilia na kugeuka tawala za kishetani, sijui kwa nini anaziacha kwa jinsi ile ile sijui kwa nini, anamuacha shetani undelete kufanya maovu badala ya kumteketeza Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Allah/Yesu/Yehova angekuwa anasikia kama tunavyoambiwa na viongozi wa dini basi nusu ya matatizo duniani yangeshakuwa solved na sidhani kama tungepitia haya tunayopitia.
Anaesema Mungu ndie karuhusu haya anatakiwa ahojiwe je huyo Mungu anafurahia shida za viumbe wake? Kama ndio kuna umuhimu gani wa kuabudu Kiumbe dharimu na katiri namna hii?.
Tafakari,
swala la mtu kusaidiwa na Mungu linaanza na yeye mwenyewe.Mungu hasaidii kwa sababu hayupo.
Polepole alojitapa sana kwamba yeye haogopi kwa sababu analindwa na Mungu wa Mbinguni.
Lakini amedakwa kizembe tu. Huyo Mungu hakumsaidia.
Hizi ulizoandika hapa ni story na porojo tu, hata hazijibu chochote katika huu Uzi.Wengi hawana Elimu sahihi kuhusu Mwenyezi Mungu, utukufu wake , sifa zake nk ndio maana wanaongea negatively kuhusu Mungu. Mimi hapa nafafanua kidogo kuhusu Mwenyezi Mungu kutoka na mafundisho ya dini ya Uislamu
Lawama inakuja kwa kutofanya uadilifu au kwenda kinyume na alivyoahidi . Mfano Mwenyezi Mungu aseme watu peponi hakuna shida Wala dhiki halafu mtu aende peponi akute dhiki na tabu hapo tunaweza kusema amekosa uadilifu kitu ambacho halipo kwa Mwenyezi Mungu kutokuwa muadilifu na mkweli katika ahadi.
Mwenyewezi Mungu ametangaza Zamani kwenye maandiko kuwa Dunia ni kama sehemu ya dhiki , watu kufanyiana uasi , kuuana nk . Na kwa waumini wanaomcha yeye ndio Wenye kupata mitihani zaidi. Pamoja na hilo akaahidi kuwanusuru wataofuta na kushikama na muongozo wake kisawasawa pamoja na kuwaandalia mwisho mwema yaani pepo.
Kanuni ya Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Uislamu ametaka watu wasijiingize kwenye matatizo na katika kila jambo wajiandae ,kuchukua tahadhari na kufanya hatua muhimu (sababu ) ili kupata au kulifikia na sio kisa una Imani ukae tu kizembe Hilo swala halipo hayo sio maelekezo yake.
Na kuwa mjuzi wa yote sio hoja maana yeye anafanya atakalo na kuruhusu atayotaka kufanyika kutokana na hekima yake na ujuzi wake mabaya na mazuri yote yanatokea .
View attachment 3485739
Ujinga mtupuWengi hawana Elimu sahihi kuhusu Mwenyezi Mungu, utukufu wake , sifa zake nk ndio maana wanaongea negatively kuhusu Mungu. Mimi hapa nafafanua kidogo kuhusu Mwenyezi Mungu kutoka na mafundisho ya dini ya Uislamu
Lawama inakuja kwa kutofanya uadilifu au kwenda kinyume na alivyoahidi . Mfano Mwenyezi Mungu aseme watu peponi hakuna shida Wala dhiki halafu mtu aende peponi akute dhiki na tabu hapo tunaweza kusema amekosa uadilifu kitu ambacho halipo kwa Mwenyezi Mungu kutokuwa muadilifu na mkweli katika ahadi.
Mwenyewezi Mungu ametangaza Zamani kwenye maandiko kuwa Dunia ni kama sehemu ya dhiki , watu kufanyiana uasi , kuuana nk . Na kwa waumini wanaomcha yeye ndio Wenye kupata mitihani zaidi. Pamoja na hilo akaahidi kuwanusuru wataofuta na kushikama na muongozo wake kisawasawa pamoja na kuwaandalia mwisho mwema yaani pepo.
Kanuni ya Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa Uislamu ametaka watu wasijiingize kwenye matatizo na katika kila jambo wajiandae ,kuchukua tahadhari na kufanya hatua muhimu (sababu ) ili kupata au kulifikia na sio kisa una Imani ukae tu kizembe Hilo swala halipo hayo sio maelekezo yake.
Na kuwa mjuzi wa yote sio hoja maana yeye anafanya atakalo na kuruhusu atayotaka kufanyika kutokana na hekima yake na ujuzi wake mabaya na mazuri yote yanatokea .
View attachment 3485739