Lini binadamu watakubali ukweli kwamba kwenye siasa na masuala ya haki kumtegemea Mungu ni kupoteza muda tu?

Lini binadamu watakubali ukweli kwamba kwenye siasa na masuala ya haki kumtegemea Mungu ni kupoteza muda tu?

Wapalestina kila kukicha Allah Allah Allah hakuna kitu wanapata zaidi ya kushushiwa mvua ya mabomu na wakina Netanyahu sijui huyo Allah wao anakua amejificha wapi

Ukiona umezurumiwa haki yako chukua panga kamkate adui yao acha kukesha msikitini na makanisani kwenye maupuuzi ya kufunga novena kujitesa kwenye upumbavu wakati wenye nchi wanaendelea kula kuku kwa mrija.
Watu wengi wanapenda uongo mtamu kuliko ukweli mchungu.

Hicho ndicho kinachowaponza.

Zile hadithi za kumuomba Mungu aweke mambo sawa ni tamu, ni za kujiondolea wajibu mtu mwenyeee na kumpa wajibu Mungu, ni za kizembe, badala ya kufanya kazi kumaliza tatizo, unampa Mungu jiyo kazi.

Watu wengi wanapenda hizo hadithi za uongo mtamu.

Kuchukua wajibu mwenyewe, kuweka mkakati, kufanya kazi, kusababisha mambo yayokee ni kitu kigumu, ni ukweli mchungu.

Watu wengi wanapenda uongo mtamu kuliko ukweli mchungu.
 
😅😅😅

Kinachoendesha dunia ni pesa/uchumi na mamlaka ya kisiasa ambavyo hivi vinazaa ushawishi.

Wenye hivyo hapo juu ndio wameeneza hii manipulation ya dini, kinawaramba ninyi kila siku wao wanachanja mbuga.

However imani juu ya kitu chochote ni jambo la msingi , inasaidia surviving. (psychological part of human development)
 
Not necessarily, Mungu ni ajabu sana, japo ni YEYE Pekee huweka serikali za mataifa, lakini kuna wakati huruhusu shetani kuziingilia na kugeuka tawala za kishetani, sijui kwa nini anaziacha kwa jinsi ile ile sijui kwa nini, anamuacha shetani undelete kufanya maovu badala ya kumteketeza Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Kwamba Mungu anafanya kazi yake nzuri alafu anampa shetani?
 
We Yoda, Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa na kiongozi yoyote anapokuwa mkuu wa nchi ni anakuwa ni chaguo la Mungu ili kutimiza mapenzi ya Mungu hivyo anakuwa na kibali, asipotimiza mapenzi ya Mungu, kibali chake kinafutwa, anapewa mwingine. Thread 'Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?' Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

Magufuli alikuwa ni chaguo la Mungu na Thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
P
Achana na story za mungu wa vitabuni Mungu wa kweli hukusaidia unapopambana kwa kuanzisha kupinga jambo hasa uonevu siyo kuimba mapambio na kupiga makelele,hawa wote mnao waita wasiojulikana wanawamudu kupitia Mungu wao wa kweli wa watu wote walio katika asili na mila zao,sasa nyie komaeni na mungu wa biblia na quruan
 
Kwamba Mungu anafanya kazi yake nzuri alafu anampa shetani?
Hapana, ni Mungu anafanya kazi yake nzuri kisha kumruhusu shetani kufanya maangamizi na kuhusu matendo ya kishetani kwa watu wake!
Mifano ni mingi
  1. Adam na Eva shetani la dhambi ya asili
  2. Caine na Abel shetani la husda
  3. Luthu shetani la nono kuwatoa B zao mabinti zake wa kuzaa mwenyewe na kuwajaza wote wawili!.
  4. King David shetani la ngono kumtamani mke wa Uria, Bersheba akamuua Uria ndio akamzalia Sulemani
  5. Ayubu shetani wa mateso
  6. Ibrahim kumfukuza Ishamel
  7. Yakobo akaiba urithi wa Essau
  8. Yuda akamlala mke wa mtoto wake Tamari na kuwazaa Peresi na Zera,
  9. Yuda Eskariot kumsaliti Yesu
  10. Mungu kuacha Yesu asulubiwe.
Hata Tanzania, Magufuli alikuwa ni chaguo la Mungu kwa awamu moja tuu, alipolazimisha awamu ya pili kwa ushetani ule Mungu akakifuta kibali chake na kumpa Samia.

.....kwamba Mungu ni dhaifu kwa shetani, ama?
 
Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.

Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.

Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.

View attachment 3485657
Obviously ni mada ngumu, na 'provocative' kwa baadhi yawatu

Binafsi nachukua mlengo wa katikati: kwamba " Mungu hamsaidii asiyetaka kujisaidia mwenyewe"

Huwezi kukaa mahali ukabweteka na kusubiri Mungu akutendee miujiza.

Na kwa maana hiyo hiyo, tunaweza pia kusema, hata hao waovu, kwa mfano serikali ya Samia na Genge lake; na wao wanaamini kabisa kuwa yote wanayofanya wanawezeshwa na Mungu; hata katika kuwafanyia binaadam wengine maovu.

Sasa shuhudia maajabu mengine; kutoka kwa hao wanaoifahamu zaidi imani ya Mungu. Wengi wanaimba "AMANI" iliyopo isivurugwe; na wengine wanaimba "AMANI na HAKI" Lakini wote kwa pamoja ni kama mapacha wanaolilia upendeleo toka kwa mama yao serikali inayotenda maovu.

Hawa wa "AMANI na HAKI", tulidhani wapo kuelezea na kusimamia maslahi ya waTanzania; lakini walivyo geuka kinyume nyume hata haijulikani ilikuwaje. Sasa wanawatangazia waTanzania kwamba wao hawana malumbano yoyote na serikali inayowafanyia waTanzania maovu!

Inawezekana wameomba sana, kupitia kwenye sala zao na ile waliyo iita "Novena", na Mungu wao kawaonyesha njia kuwa hataki wajihusishe na maswala ya waTanzania kujiondoa katika utwana!

Hawa "Miungu" hata sisi waumini mara nyingi wanatuchanganya sana akili.

Baada ya kuyaona mazingaombwe yote haya, mimi binafsi naamini Mungu huyo huyo kaniwezesha kuwa na akili ya kutambua. Kanipa utashi wa kuamua huyu Mungu anataka nisimamie kwenye HAKI; bila kujali hawa Miungu wa kujitengenezea viongozi wa serikali na hao wenye imani za kupotosha watu..
 
Huwa naona ni kituko au hamnazo watu wanamuomba mungu awasaidie dhidi ya madhalimu mfano watekaji wakati na watekaji nao wanamuomba mungu kila siku awasaidie waendelee kudumu mamlakani wakiwa na nguvu tena hao madhalimu wanaombewa hadi na maaskofu na ma-sheikh wakubwa kila siku waendelee kudumu.
Inasikitisha sana.
Juzi tumesikia kauli ya baadhi yao wakitangaza hawana "malumbano na serikali"!

Wakati kama huu lugha ya namna hii inamsaidia mwovu. Kwa nini isiwe bora kabisa hata kunyamaza tu!
 
Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.

Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.

Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.

View attachment 3485657
Yoda,
Idea nzima ya Dini ni utata mtupu, kwanza kabisa watu waelewe kuwa nyie ni WaTanzania (waTanganyika -utaifa kwa sasa) ila ru ukienda mbali wa-afrika wa Afrika- yaani wachaga, wahehehe, wahaya etc etc, hata hapa kwetu tulikua tunaamini mungu kabla ya hizo staarabu kuja. Uislam au Ukristo zote ni imported.

Sasa kuna watu wako indoctrinated (kasumba) kuwa wao ni wakristu au waislam, that is very stupid of all; wewe kuwa muislam au mkristu hutupi culture yako. Hapa ndiyo conflict inaanza.

Sasa kuna wale wa ABUSE- BLASHPEMY- kuhusu Mungu, wana-substitute Mungu na uslama wao ati Mungu atanilinda badala ya kujilinda mwenyewe kwanza. Au kufany kazi na kujilisha wewe kwanza badala ya kumngoja Mungu.

Hiziimported cultures ndiyo zimetuleta hapa sasa hivi.
Unashangaa kuna mashehe, mapdre-wachunguja laghai, na ndiyo serikali zetu zinategemea mawazo yao na sisi tunauuana, hakuna wala kuheshimiana, na hao wanaoua wanaamini Mungu vile vile na kuna mashehe na wachungaji wanawatetea.
 
Hivi wewe unaweza kuwa unamjua Allah na miongozo yake kuliko Hamas??
Miongozo ni kwa kusoma sio haupo katika genes na Wala mtu harithi.

Hiyo ni complex inferiority sana na mtu kusema Ina maana wewe u a akili kuwazidi wazungu ? wakati wapo Wazungu wengi mabogaz tu kushinda hata wabongo.

Ngoja niweke hiyo miongoni michache mafano kuwa watoto , Wazee , Wanawake na wasiohusika si katika Sheria za mapambano katika dini Hamas , ISIS , Al shabab huwa wanaopiga hadi makundi ambayo si ruhusa kuwapiga.
 
Back
Top Bottom