Siasa zenyewe za sasa zina mfumo haramu wa Kishetani ambao ni demokrasia .Hizi ulizoandika hapa ni story na porojo tu, hata hazijibu chochote katika huu Uzi.
Swali la msingi, Tofauti na hadithi za Quran za kale, Je Allah wako amewahi kuwasaidia binadamu popote katika harakati zao za kisiasa na kutafuta haki??
SawaUjinga mtupu
Hawa hapo wapalestina wanatandikwa vibaya mno huko hawaoni ?Siasa zenyewe za sasa zina mfumo haramu wa Kishetani ambao ni demokrasia .
Kwenye demokrasia unaweza kuruhusu ushoga , ulevi , kamari na kupitisha Sheria kinyume na Sheria za Mungu kwa kufuata demokrasia .
Mfano ya misaada chini hapo
Waislamu waliwahi kusaidiwa kuondoa utawala wa Wamongolia walipowavamia
Mungu aliruhusu South Africa wakina Mandela kuwaondoa Mabeberu.
Aliruhusu uhuru wa Tanganyika , Algeria revolution nk
Kwa hiyo unakubaliana kwamba watu waache kusali na kuswali kuomba kwa ajili ya mambo ya kisiasa na haki kwa sababu ni kupoteza muda na hadaa tu, badala yake ni bora watumie akili zao kutatua changamoto zinazowakabili ??Matatizo mengi yanatokana na ubishi , ujinga , tamaa na udhalimu wa Wanadamu wenye . Mungu ameshatupa akili ila tunashindwa kutumia vyema akili zetu sasa lawama za kazi gani ? Mungu anashika mkono mtu aue ?
Ndio karuhusu yatokee kama sehemu ya majaribio na mitihani kwa viumbe wake , mbona watu wakiwa na hela zao na bando lao wanasema watu wasiwapangie Matumizi na chaku post . Na yeye ndio mwenye umiliki wa ulimwengu wote hawezi kupangiwa namna gani anavyotaka ulimwengu uwe.
Wewe mbona unajichanganya tu!Siasa zenyewe za sasa zina mfumo haramu wa Kishetani ambao ni demokrasia .
Kwenye demokrasia unaweza kuruhusu ushoga , ulevi , kamari na kupitisha Sheria kinyume na Sheria za Mungu kwa kufuata demokrasia .
Mfano ya misaada chini hapo
Waislamu waliwahi kusaidiwa kuondoa utawala wa Wamongolia walipowavamia
Mungu aliruhusu South Africa wakina Mandela kuwaondoa Mabeberu.
Aliruhusu uhuru wa Tanganyika , Algeria revolution nk
Ndio maana nikasema tatizo elimu , Allaah ana kanuni zake , masharti na muongozo wa kusaidiwa waja . Hata waja wakiteseka Duniani sasa maisha ya Duniani ni kitu gani si muda mfupi tu mtu unaishi Kisha maisha baada ya Kifo ndio milele , sasa si kheri uteseke hapa pafupi ?Wapalestina kila kukicha Allah Allah Allah hakuna kitu wanapata zaidi ya kushushiwa mvua ya mabomu na wakina Netanyahu sijui huyo Allah wao anakua amejificha wapi
Ukiona umezurumiwa haki yako chukua panga kamkate adui yao acha kukesha msikitini na makanisani kwenye maupuuzi ya kufunga novena kujitesa kwenye upumbavu wakati wenye nchi wanaendelea kula kuku kwa mrija.
Ndio karuhusu iwe . Mtu unaweza kuruhusu na kutaka kiwe hata kama haukipendi na kukiridhia.Wewe mbona unajichanganya tu!
Mungu aliruhusu South Africa iwe na demokrasia?!
Mbona ushoga, kamari na ulevi viko kwenye nchi nyingi tu zisizo za kidemokrasia?
Linaanza na yeye mwenyewe kwa sababu Mungu hayupo.swala la mtu kusaidiwa na Mungu linaanza na yeye mwenyewe.
Kama alivyowahi kusema Karl Max, Hakika, Dini ni ulevi wa hadhira na wewe unathibitisha Hilo kwa hizi porojo zako na story za kusadikika kuwapa watu natumaini hewa.Ndio maana nikasema tatizo elimu , Allaah ana kanuni zake , masharti na muongozo wa kusaidiwa waja . Hata waja wakiteseka Duniani sasa maisha ya Duniani ni kitu gani si muda mfupi tu mtu unaishi Kisha maisha baada ya Kifo ndio milele , sasa si kheri uteseke hapa pafupi ?
Madhalimu hata wakitamba Wana mwisho na marejeo mabaya . Firauni aliwatesa Wana wa Israeli kwa miaka mingapi si mingi sana zaidi ya anavyotesa Netanyahu sasa ila mwisho wake baadae ukawaje kwa Firauni baada ya miaka ya ubabe mwingi ?
Mwenyezi Mungu ametaka watu wajiandae ipasavyo katika kumkabili adui na wasiingie kichwa kichwa bila kupima uwezo , madhara na Faida.Hawa hapo wapalestina wanatandikwa vibaya mno huko hawaoni ?
Huyu ni msomi anayeheshimika kwenye taifa letu na hata kwenye mijadala mizito huwa anahusishwaWe Yoda, Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa na kiongozi yoyote anapokuwa mkuu wa nchi ni anakuwa ni chaguo la Mungu ili kutimiza mapenzi ya Mungu hivyo anakuwa na kibali, asipotimiza mapenzi ya Mungu, kibali chake kinafutwa, anapewa mwingine. Thread 'Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?' Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Magufuli alikuwa ni chaguo la Mungu na Thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
P
God is ideal that suffered boredom without existence of manMungu siyo kiumbe, ni nguvu ya asili na vitu vyote ulimwenguni vyatoka kwake.
Unazaliwa, unakua, umepewa akili, viungo na uwezo wa kukabiliana kwa nguvu ya asili (Mungu).
Tunatakiwa kutumia fursa, uwezo na nguvu alizotupa kupambana na kudhibiti vinavyotukabili.
Tuache kujidanganya kwa tafsiri potofu kuhusu Mungu.
Maadui hutumia tafsiri hizi potofu kuendelea kuwapumbaza na kuwanyonya wajinga.
Hivi wewe unaweza kuwa unamjua Allah na miongozo yake kuliko Hamas??Mwenyezi Mungu ametaka watu wajiandae ipasavyo katika kumkabili adui na wasiingie kichwa kichwa bila kupima uwezo , madhara na Faida.
Sasa Hamas walifanya makosa mengi mno katika harakati zao na kutupa mbali miongozo ya Allaah.
Watu kuuliwa ni kawaida hata Wana wa Israel walitandikwa miaka mingi na kudhalilishwa na Firauni.
Naunga mkono hojaMjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.
Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.
Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.
View attachment 3485657