Watu wengi wanapenda uongo mtamu kuliko ukweli mchungu.Wapalestina kila kukicha Allah Allah Allah hakuna kitu wanapata zaidi ya kushushiwa mvua ya mabomu na wakina Netanyahu sijui huyo Allah wao anakua amejificha wapi
Ukiona umezurumiwa haki yako chukua panga kamkate adui yao acha kukesha msikitini na makanisani kwenye maupuuzi ya kufunga novena kujitesa kwenye upumbavu wakati wenye nchi wanaendelea kula kuku kwa mrija.
Kwamba Mungu anafanya kazi yake nzuri alafu anampa shetani?Not necessarily, Mungu ni ajabu sana, japo ni YEYE Pekee huweka serikali za mataifa, lakini kuna wakati huruhusu shetani kuziingilia na kugeuka tawala za kishetani, sijui kwa nini anaziacha kwa jinsi ile ile sijui kwa nini, anamuacha shetani undelete kufanya maovu badala ya kumteketeza Thread 'Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani' Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani
P
Achana na story za mungu wa vitabuni Mungu wa kweli hukusaidia unapopambana kwa kuanzisha kupinga jambo hasa uonevu siyo kuimba mapambio na kupiga makelele,hawa wote mnao waita wasiojulikana wanawamudu kupitia Mungu wao wa kweli wa watu wote walio katika asili na mila zao,sasa nyie komaeni na mungu wa biblia na quruanWe Yoda, Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa na kiongozi yoyote anapokuwa mkuu wa nchi ni anakuwa ni chaguo la Mungu ili kutimiza mapenzi ya Mungu hivyo anakuwa na kibali, asipotimiza mapenzi ya Mungu, kibali chake kinafutwa, anapewa mwingine. Thread 'Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?' Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
Magufuli alikuwa ni chaguo la Mungu na Thread 'Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!' Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!
P
Hapana, ni Mungu anafanya kazi yake nzuri kisha kumruhusu shetani kufanya maangamizi na kuhusu matendo ya kishetani kwa watu wake!Kwamba Mungu anafanya kazi yake nzuri alafu anampa shetani?
.....kwamba Mungu ni dhaifu kwa shetani, ama?Hapana, ni Mungu anafanya kazi yake nzuri kisha kumruhusu shetani kufanya maangamizi na kuhusu matendo ya kishetani kwa watu wake!
Mifano ni mingi
Hata Tanzania, Magufuli alikuwa ni chaguo la Mungu kwa awamu moja tuu, alipolazimisha awamu ya pili kwa ushetani ule Mungu akakifuta kibali chake na kumpa Samia.
- Adam na Eva shetani la dhambi ya asili
- Caine na Abel shetani la husda
- Luthu shetani la nono kuwatoa B zao mabinti zake wa kuzaa mwenyewe na kuwajaza wote wawili!.
- King David shetani la ngono kumtamani mke wa Uria, Bersheba akamuua Uria ndio akamzalia Sulemani
- Ayubu shetani wa mateso
- Ibrahim kumfukuza Ishamel
- Yakobo akaiba urithi wa Essau
- Yuda akamlala mke wa mtoto wake Tamari na kuwazaa Peresi na Zera,
- Yuda Eskariot kumsaliti Yesu
- Mungu kuacha Yesu asulubiwe.
P
Obviously ni mada ngumu, na 'provocative' kwa baadhi yawatuMjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.
Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.
Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.
View attachment 3485657
Inasikitisha sana.Huwa naona ni kituko au hamnazo watu wanamuomba mungu awasaidie dhidi ya madhalimu mfano watekaji wakati na watekaji nao wanamuomba mungu kila siku awasaidie waendelee kudumu mamlakani wakiwa na nguvu tena hao madhalimu wanaombewa hadi na maaskofu na ma-sheikh wakubwa kila siku waendelee kudumu.
Yoda,Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo lakini jambo moja lenye uhakika kabisa ni kwamba kwenye siasa na masuala ya haki hakuna ushahidi wowote wa Mungu kusaidia, kuhusika au kubadilisha mambo popote duniani.
Tofauti na story za kwenye Biblia na Quran hakuna miujiza ya Mungu iliyowahi kushuhudiwa na kujadiliwa hata kwa kubishaniwa kwamba aliwasaidia watu fulani dhidi ya mfumo fulani wa siasa kandamizi, ukoloni, unyonyaji au kuweza kupata haki zao dhidi ya madhalimu, madikteta na wakandamizaji.
Zaidi sana kote duniani watu wanaofanya haya mabaya na maovu katika tawala karibia zote kasoro zile za Kikomunist nao huwa wanasema ni watu wa mungu na wamewekwa na mungu kufanya hayo au kutawala hivyo.
View attachment 3485657
Miongozo ni kwa kusoma sio haupo katika genes na Wala mtu harithi.Hivi wewe unaweza kuwa unamjua Allah na miongozo yake kuliko Hamas??