Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Kuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?

Nasema hivyo kwa kuwa mara nyingi imetokea kwa watu wengi hasa sisi wa hali ya kawaida na hali ya chini imekuwa kawaida mishahara kutokutana, yaani ule wa mwezi huu uwepo angalau kidogo pindi wa mwezi unaofuatia unapoingia.

Je, lini mara ya mwisho wewe mishahara yako imekutana?
 
Wanawake wengi mishahara mingi inakutana kwa sababu sisi wanaume ni mazuzu tunawahonga sana,yaan unakutamishahara hadi mitatu inakutana chezea utelezi ww [emoji23]
Ndomna me asaiv nimekuwa kauzu sihongi hovyo hovyo namhonga mke wangu tu[emoji39]
 
Mimi wa kwangu mara nyingi unakutana. Kuna wakati mshahara mwingine unaingia unakuta uliopita sijatoa hata cent.
Sio kwamba ni tajiri😂😂 ni kwa sababu majukumu ya familia hayaniangukii mimi kiviiile.
Ulibeti vizuri😂😂 congrats Kwa Hilo, ila I guess Kuna mwamba anapasuka vibaya huko😂😂 yaani anaivia moshi
 
Back
Top Bottom