Lini ilikuwa mara ya mwisho Mshahara wako ulikutana na unaofuata?

Kipindi nipo chuo Boom lilikuwa linakutana .

Hata katika kazi lazima PESA ikutane .

Kanuni nayotumia huwa najiwekea Akiba kwanza then kinachobaki ndo natumia.

Nidhamu ya PESA ndo kila kitu. Kujiepusha kufurahisha WATU na kuwa na malengo makubwa tu.
 
Tangu nianze kazi 2013 mishahara ilikuwa inakutana kwasababu tu hapo katikati nilikuwa na visafari vingi hivyo kale kaposho kanamaliza mambo madogo madogo na saving nikawa naweka vizuri.

Ila sasa tangu mwaka 2023 uanze nikabadilisha mwajiri nimemaliza mkwanza wote wa savings na salary hazikutani maana kibarua changu cha sasa ni kukaa mezani sina safari wala mchongo wa ziada life bana nadhani michongo ya ziada ndo mkombozi Salary sio ya kutegemea wakuu.

Japo pia tamaa zinatuponza mimi binafsi najiona nimekuwa na matamanio sana ya vitu vizuri na siku zote vizuri gharama.
 
Kuna usemi unasema ' live below your means'

Hii kitu ni ngumu kuifuata ila ukiiweza mshahara lazima ukutane.

NB.
Unakuta mtu mshahara haukutani na bado anataka kuoa.
Hii misemo mingine tantalila tuu. Mishara yenyewe tayari below ur means🤣🤣🤣🤣
 
Tangu nianze kazi 2013 mishahara ilikuwa inakutana kwasababu tu hapo katikati nilikuwa na visafari vingi hivyo kale kaposho kanamaliza mambo madogo madogo na saving nikawa naweka vizuri.

Ila sasa tangu mwaka 2023 uanze nikabadilisha mwajiri nimemaliza mkwanza wote wa savings na salary hazikutani maana kibarua changu cha sasa ni kukaa mezani sina safari wala mchongo wa ziada life bana nadhani michongo ya ziada ndo mkombozi Salary sio ya kutegemea wakuu.

Japo pia tamaa zinatuponza mimi binafsi najiona nimekuwa na matamanio sana ya vitu vizuri na siku zote vizuri gharama.
Sio tamaa bwana...kila mtu anapenda vitu vizuri
Wanakuambia ukioa milango inafunguka
Au watoto wanakujanna baraka zao 🤣🤣🤣
 
Baada tu ya kuoa mishahara ikaacha kukutana
 
Back
Top Bottom