Je, lini mara ya mwisho wewe mishahara yako imekutana?
Hapa nafikiri ni vile mtu unatumia kwasababu unajua mshahara unakujaKuna swali najiuliza hivi kadiri unavyoata fedha ndivyo majukumu yanaongezeka au ni akili tu inajiambia sasa hivi kipato kimeongezekana nawe ongeza matumizi?
Jina na picha yako vinasema kwa nini uliyosemaMie hadi sasa mara zote mshahara unakutana
Namshukuru Mungu kwa kweli [emoji120]
Ni kwanini?Jina na picha yako vinasema kwa nini uliyosema
[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo ilitokea miezi miwili ya mwanzoni mwa ajira yangu, 2006. Mpaka sasa nimesahau tu kama kuna kitu kama hicho.......
Wewe una ma sponsor buddy๐๐๐ sasa ukute hata pesa za mtoa uzi umekula๐๐Mie hadi sasa mara zote mshahara unakutana
Namshukuru Mungu kwa kweli ๐
Ulibeti vizuri๐๐ congrats Kwa Hilo, ila I guess Kuna mwamba anapasuka vibaya huko๐๐ yaani anaivia moshiMimi wa kwangu mara nyingi unakutana. Kuna wakati mshahara mwingine unaingia unakuta uliopita sijatoa hata cent.
Sio kwamba ni tajiri๐๐ ni kwa sababu majukumu ya familia hayaniangukii mimi kiviiile.